Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Wazungu wana vinasaba vikali sana mkuu. Hata wewe ukitoa copy na mzungu au mchina,lazima atoke kama pure mzungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha ilizoleta walakini ni hiziKwa kweli kuna mashaka sana, ni suala la kutolewa ufafanuzi na wataalamu wa masuala ya vinasaba
Mshkaji kapigwa, hapo kwenye nywele panaleta utata zaidi ya rangi ya ngoziPicha ilizoleta walakini ni hizi
Hata Kichaa hadanganywi
Huyo mwenye nywele zenye weusi ni wa MESSI then huyo mwenye golden hair wa Neymar🤣
Wengine wa Suarez
Nilikua najua mtoto anakua mzungu pure akiwa bado mtoto mchanga ila kadili anavyokua anaanza kuongezeka rangi ya mzazi wa kiafrika mfano mtoto wa drake alivyokua mchanga alikua mzungu pure ila sasa hivi rangi ya baba inaanza kujitokeza sasa huyu mtoto wa neymar dah.!Wazungu wana vinasaba vikali sana mkuu. Hata wewe ukitoa copy na mzungu au mchina,lazima atoke kama pure mzungu
Tafuta pesa uache ufukunyukuHivi huyu mtoto wa Neymar mnamuonaje wazee, mwanetu hajapigwa kweli hapa?
Hata kama mama ni mzungu pure, sijawahi kuona mtoto chotara akachukua sifa za mzazi mmoja tuView attachment 3066672
Pesa natafuta, muulize mama ako anahongwa na nani atakupa habari zanguTafuta pesa uache ufukunyuku
Hamna mkuu ni kawaida sana. Hata wewe ukitoa sample na mweupe,ukifanana nae kutembea au vidole tu, inatosha jamaa yangu. Hayo mengine we shukuru kupata hiyo sample. Ila kama ni Ke zinakuwa visu mbayaaaa. Mixer ni kali mazee. Ila asiwe wa kiume,kwa dunia ya sasa hivi ilivyoharibika utateseka sana kumlinda. Awage keNilikua najua mtoto anakua mzungu pure akiwa bado mtoto mchanga ila kadili anavyokua anaanza kuongezeka rangi ya mzazi wa kiafrika mfano mtoto wa drake alivyokua mchanga alikua mzungu pure ila sasa hivi rangi ya baba inaanza kujitokeza sasa huyu mtoto wa neymar dah.!
Dah.! dingi mbantu mtoto mzungu pure inataka moyo mgumu kukubaliHamna mkuu ni kawaida sana. Hata wewe ukitoa sample na mweupe,ukifanana nae kutembea au vidole tu, inatosha jamaa yangu. Hayo mengine we shukuru kupata hiyo sample. Ila kama ni Ke zinakuwa visu mbayaaaa. Mixer ni kali mazee. Ila asiwe wa kiume,kwa dunia ya sasa hivi ilivyoharibika utateseka sana kumlinda. Awage ke
Yes, kuna sehemu nimesoma inawezekana mtoto akarithi genes za babu, mfano Hashim Thabiti nishawahi kuona mahojiano ya mama ake akisema jamaa amerithi urefu kwa babu yake sema sasa hivi dunia imealibika bado kuna umujimu wa kuchukua DNA ukiona hauelewi elewiKwenye genitics Hilo suala la kawaida sana,tafuta habari ya Wana ndoa wanaijeria wanaishi London(weusi tii) wakazaa mtoto Mzungu, utata kupima DNA ikaonekana mwanamke Babu wa babu yake alikua Mzungu..
Sure kuna Jamaa Yangu kalelewa na mama yake,ni mweusi kabisa,but wakati tupo wadogo alikua anatupeleka kwa baba yake kariakoo,baba yake mwarabu Kabisa..ila wamefanana kama mapacha...Yes, kuna sehemu nimesoma inawezekana mtoto akarithi genes za babu, mfano Hashim Thabiti nishawahi kuona mahojiano ya mama ake akisema jamaa amerithi urefu kwa babu yake sema sasa hivi dunia imealibika bado kuna umujimu wa kuchukua DNA ukiona hauelewi elewi
Hivi huyu mtoto wa Neymar mnamuonaje wazee, mwanetu hajapigwa kweli hapa?
Hata kama mama ni mzungu pure, sijawahi kuona mtoto chotara akachukua sifa za mzazi mmoja tuView attachment 3066672
Wa bongo kwa kufuatilia masuala ya wenzetu hatujambo, ila wambie kupeleka wachezaji olypics kule ufaransa.hajapigwa. kwa sababu neymar ni chotara baba mweusi mama mzungu. na mke wake neymar ni mzungu. lazima mtoto awe mzungu. ni kama Giggs. Giggs babu yake mzaa baba ni black. kisha babu yake akazaa na mzungu. baba yake Giggs ambaye ni chotara akazaa tena na mzungu ndio akapatikana Giggs.
Shida bodi yenu ya kupeleka wachezaji haichuki vipaji inachagua watoto wa nani na nani hapo usitegemee turudi na medali yeyote..Wa bongo kwa kufuatilia masuala ya wenzetu hatujambo, ila wambie kupeleka wachezaji olypics kule ufaransa.
Wewe unajua ana asili gani?Kwani unavyojua wewe, Neymar ana asili gani?
wewe umeweka legacy gani kwenye iyo jamii ya wabongo ili tujifunze kwako?Wa bongo kwa kufuatilia masuala ya wenzetu hatujambo, ila wambie kupeleka wachezaji olypics kule ufaransa.
Siasa kwenye kila kitu, bongo mtu smart ataishia kupuuzia tu masuala ya siasa, mtu smart akiamua kujihusisha na siasa hapa bongo labda iwe kaona fursa lakini sio ile kujihusisha kwa kuwa siriaz nazo.Shida bodi yenu ya kupeleka wachezaji haichuki vipaji inachagua watoto wa nani na nani hapo usitegemee turudi na medali yeyote..
Nafikiri iyo ni hiyali ya mtu sio shurti ya kisheria.Wenzetu huko wanapima DNA!