Mtoto wa Neymar

Mtoto wa Neymar

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Hivi huyu mtoto wa Neymar mnamuonaje wazee, mwanetu hajapigwa kweli hapa?

Hata kama mama ni mzungu pure, sijawahi kuona mtoto chotara akachukua sifa za mzazi mmoja tu
Screenshot_20240811_110728_Google.jpg
 
Hivi huyu mtoto wa Neymar mnamuonaje wazee, mwanetu hajapigwa kweli hapa?

Hata kama mama ni mzungu pure, sijawahi kuona mtoto chotara akachukua sifa za mzazi mmoja tuView attachment 3066672
hajapigwa. kwa sababu neymar ni chotara baba mweusi mama mzungu. na mke wake neymar ni mzungu. lazima mtoto awe mzungu. ni kama Giggs. Giggs babu yake mzaa baba ni black. kisha babu yake akazaa na mzungu. baba yake Giggs ambaye ni chotara akazaa tena na mzungu ndio akapatikana Giggs.
 
Mwanamke aloezaa nae sio mkewe, ni demu tu mapepe walikutana viwanja. Nashukuru kwa kunielewesha sikua najua kama mtoto anaweza kuchukua rangi ya bibi au babu, sema neymar ana pesa nyingi na sio bwege ni matumaini yangu atakua amejiridhisha na vipimo vya DNA.
 
Jamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake 😅
 
tuonyeshe picha yako wewe na baba yako.. Kujadili mambobya neumar sio uzalendo inawezekana mtanzania mwenzetu ambae ni baba yako nae kapigwa..
tuanzie nyumbani
mimi na baba yangu sio maarufu mzee baba. Hao watu maarufu ndio kioo cha jamii kwaiyo kupitia wao ndio tunajifunza, tukisema tuangalie kesi moja moja hatutamaliza leo.
 
Back
Top Bottom