Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #41
Sijawaona, vipi nae kuna harufu ya kupigwa?Umewaona watoto wa remy ongala lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawaona, vipi nae kuna harufu ya kupigwa?Umewaona watoto wa remy ongala lakini?
😅😅😅😅😅Firmino kamchapia ndugu yake,,,Neymar analeta masikhara Yake na mbwembwe zake za uwanjani hadi kwenye Nyapu acha wenzake waskooNeyma ni chotara kama mke ni Mzungu basi hakuna Cha ajabu hapo maana firmino ni mchungaji hawezi kumzunguka jamaa yake
Firmino nae ana damu ya kibantu hata kama angekua ni mtoto wake bado mama wa mtoto ana kesi ya kujibu, how comes mtoto atoke mzungu pure kabisa.😅😅😅😅😅Firmino kamchapia ndugu yake,,,Neymar analeta masikhara Yake na mbwembwe zake za uwanjani hadi kwenye Nyapu acha wenzake waskoo
Dah.! Unajua suala sio kulea suala ni unalea bao la nani, Drake na mihela yake yote ila mwanae alipozaliwa alimcheki yule mtoto akaona haelewi elewi ikabidi apime DNA, tena alipima mara 3 😀😀😀Hamna mkuu ni kawaida sana. Hata wewe ukitoa sample na mweupe,ukifanana nae kutembea au vidole tu, inatosha jamaa yangu. Hayo mengine we shukuru kupata hiyo sample. Ila kama ni Ke zinakuwa visu mbayaaaa. Mixer ni kali mazee. Ila asiwe wa kiume,kwa dunia ya sasa hivi ilivyoharibika utateseka sana kumlinda. Awage ke
Hela natafuta kijana, muulize dada ako alipata wapi hela ya kununua ile smartphone atakupa habari zangu, vijana wa siku hizi hamna adabu kabisa mnaona dada zenu wanapendeza hamjui nani anagharamia nyie mnaleta maneno mbovu mbovu mitandaoni.Tafuta hela acha umbea
Sasa si umeona hicho? Sio kitu kizuri. Kwanza tu mama wa mtoto ni kama vile humuamini kabisa mpaka umpimie DNA 3. Pia mtoto ataona kama ulitaka kumtema. Muhimu ni hivyo vipimo ni ikiwa tu una mashaka kama kweli ndio wewe uliimpa mimbaDah.! Unajua suala sio kulea suala ni unalea bao la nani, Drake na mihela yake yote ila mwanae alipozaliwa alimcheki yule mtoto akaona haelewi elewi ikabidi apime DNA, tena alipima mara 3 😀😀😀
Kama mtoto sio wako ni bora ugundue mapema kuliko kuja kugundua badae sana, wakina dada hawaaminiki hawa wakishabeba ujauzito wanaangalia katika list ya wanaume wanaomgonga nani bwege na ana hela uyo ndio atakaebambikiwa mimba hata kama sio yakeSasa si umeona hicho? Sio kitu kizuri. Kwanza tu mama wa mtoto ni kama vile humuamini kabisa mpaka umpimie DNA 3. Pia mtoto ataona kama ulitaka kumtema. Muhimu ni hivyo vipimo ni ikiwa tu una mashaka kama kweli ndio wewe uliimpa mimba
haha alikua mbaguzi tu 😂S. RAMOS alipokuwa PSG alishamwambia sio wake, jamaa akamblock Mshkaji kwa muda
😀😀😀 ramos ana utandale mwingi sana, jamaa angezaliwa uswahili sijui ingekuajehaha alikua mbaguzi tu 😂
Ajira hatukupi nenda kauze kitobo hicho uache umbea yaani dume Zima linakaa kujadili mtoto wa mwanaume mwenzie si ushoga huo kauze kitobo sasaHela natafuta kijana, muulize dada ako alipata wapi hela ya kununua ile smartphone atakupa habari zangu, vijana wa siku hizi hamna adabu kabisa mnaona dada zenu wanapendeza hamjui nani anagharamia nyie mnaleta maneno mbovu mbovu mitandaoni.
Mtakuja kutukana baba zenu wa kambo
Jitawaze vizuri uko kwa mpalange halafu njoo geto nikuoneshe ubinti wangu, usibebe mafuta ya parachute utayakuta huku hukuBadala ya kutafuta ajira binti umekalia umbea tu, how pathetic!
Najua unachokitaka, dada ako ananipa yote kwaiyo katafute basha mwingine.Ajira hatukupi nenda kauze kitobo hicho uache umbea yaani dume Zima linakaa kujadili mtoto wa mwanaume mwenzie si ushoga huo kauze kitobo sasa
Kwa pesa alizonazo Neymar unahisi hakuchukua hatua yyte kujiridhisha na kauli ya Ramos? Neymar haishi daraja bovu ujue..S. RAMOS alipokuwa PSG alishamwambia sio wake, jamaa akamblock Mshkaji kwa muda
CHAIS. RAMOS alipokuwa PSG alishamwambia sio wake, jamaa akamblock Mshkaji kwa muda
Then hujaona mix nyingi za wazungu na weusi.sijawahi kuona mtoto chotara akachukua sifa za mzazi mmoja tu
Nimepita pita mitandoni na kuona inawezekana sema inaleta ukakasi kidogo, especially kama mtoto mwenyewe hafanani na baba wala mama kama huyu mtoto wa neymar, katika kesi kama hizi bado kuna umuhimu mkubwa zaidi wa mwanaume kijiridhisha na DNAThen hujaona mix nyingi za wazungu na weusi.
I know a family kaka mkubwa katoka mixed, kaka wa katikati mzungu pure huwezi jua mama ni mtanzania mweusi halafu dada wa mwisho ni mweusi yaani mswahili na nywele ndo kajaaliwa nyingi but ni zetu hizi type 4b.
Nenda hata mtandaoni utaona it is very common…