Mtoto wa nje ya ndoa anaruhusiwa kurithi, mahakama ya rufaa yasema

Kwa mfano, Nimezaa na mwanamke nje.

Ila huyo mtoto Mimi nikakataa kumtambua kama wangu.

Alafu Mwanamke huyo wa Nje, akamtambulisha Kwa ndugu zangu.

Kwahiyo Et kisa Ndugu zangu wametambulishwa, ndo sasa mtoto APATE mgao??.

Nawapa hii, Kuna demu juzi Kati hapa, Jamaa yake kampiga chini ,kisa kuko hivo

Demu ana mtoto mchanga, huyo mtoto mchanga ana kadi Tatu, na Kila Kadi Ina Baba wake, yaani mtoto ana Baba watatu.

Huyu demu Kila Baba alikua ni wake, na hata Ndugu za Jama yangu walikua ni wao.

Kwahiyo hapo ikitokea Jamaa kafa, huyo mtotowrmye Baba watatu apewe mgao??.

NADHAN MAHAKAMA HII IKIWA NA MAJAJI WATATU, IMEENDELEA KUDHIHIRISHA KUA TANZANIA TUNA WATU WAJINGA SANA WENYE ELIMU LKN HAWANA MAARIFA.

Nadhani Mahakama ingetengeneza Msingi wa Uhalali wa mtoto utokane utokane na DNA, na kwamba Bila kujalisha mtoto alitambulishwa au Lah, kwakua DNA haidanganyi, basi Mtoto wa Nje apate urithi Kwa haki yake ya DNA nasio kutambulishwa

Kama kutambulishwa , kwani wangapi wametambulishwa lkn sio watoto wa Damu zetu??.

Hili Sasa linaenda kufanya WANAUME WAWAKATAE WATOTO NA MIMBA , mapema kabisa.

Lakini Pia wanaume Sasa, Ni marufuku mchepuko Kuruhusu afahamiane na Ndugu zako.
 
Maana baadhi ya ndugu wanaweza okota mtoto huko wakasema walitambilishwa na marehemu akajipigia pande la mgao Kisha wakaenda gawana hii ni Zaidi ya hatari Kenya mtoto wa nje haruhusiwi labda kama marehemu kamtaja kwenye wosia
Hapo wosia utazingatiwa
 
Watoto wa nje ya ndo wasiruhusi kurithi maana hawatambuliki kidini Wala kimaila
Dini au mila sio zinazorithisha, ni sheria. Na dini hazigawi mali zake, hutosikia marehemu mchungaji Rwakatale mali zake alizozipata kwa kukusanya sadaka zimegawiwa kwa waumini maskini kama urithi wala Sheikh Kipozeo afe mali wagawiwe Waislamu maskini.

Kwenye sheria ya mirathi hakuna ambapo pameelezwa "mtoto wa ndani ya ndoa" ndio anastahili kurithi.

Mtu kama Ruge Mutahaba ambaye hakufunga ndoa yoyote ila alikuwa na watoto alipofariki ulitaka mali zake apewe chipukizi wa Mwigulu Nchemba?
 
Kwa mfano, Nimezaa na mwanamke nje.

Ila huyo mtoto Mimi nikakataa kumtambua kama wangu.

Alafu Mwanamke huyo wa Nje, akamtambulisha Kwa ndugu zangu.

Kwahiyo Et kisa Ndugu zangu wametambulishwa, ndo sasa mtoto APATE mgao??.

Nawapa hii, Kuna demu juzi Kati hapa, Jamaa yake kampiga chini ,kisa kuko hivo

Demu ana mtoto mchanga, huyo mtoto mchanga ana kadi Tatu, na Kila Kadi Ina Baba wake, yaani mtoto ana Baba watatu.

Huyu demu Kila Baba alikua ni wake, na hata Ndugu za Jama yangu walikua ni wao.

Kwahiyo hapo ikitokea Jamaa kafa, huyo mtotowrmye Baba watatu apewe mgao??.

NADHAN MAHAKAMA HII IKIWA NA MAJAJI WATATU, IMEENDELEA KUDHIHIRISHA KUA TANZANIA TUNA WATU WAJINGA SANA WENYE ELIMU LKN HAWANA MAARIFA.

Nadhani Mahakama ingetengeneza Msingi wa Uhalali wa mtoto utokane utokane na DNA, na kwamba Bila kujalisha mtoto alitambulishwa au Lah, kwakua DNA haidanganyi, basi Mtoto wa Nje apate urithi Kwa haki yake ya DNA nasio kutambulishwa

Kama kutambulishwa , kwani wangapi wametambulishwa lkn sio watoto wa Damu zetu??.

Hili Sasa linaenda kufanya WANAUME WAWAKATAE WATOTO NA MIMBA , mapema kabisa.

Lakini Pia wanaume Sasa, Ni marufuku mchepuko Kuruhusu afahamiane na Ndugu zako.
Wewe mwanaume ndiye unatambulisha na kusema huyu ni mwanangu. Wewe usipomtambua au usitambulisha bado hana nguvu. Hivyo ndio nilivyo elewa.

Mtambulishaji ni wewe na sio mwanamke.
 
Dini au mila sio zinazorithisha, ni sheria. Na dini hazigawi mali zake, hutosikia marehemu mchungaji Rwakatale mali zake alizozipata kwa kukusanya sadaka zimegawiwa kwa waumini maskini kama urithi wala Sheikh Kipozeo afe mali wagawiwe Waislamu maskini.

Kwenye sheria ya mirathi hakuna ambapo pameelezwa "mtoto wa ndani ya ndoa" ndio anastahili kurithi.

Mtu kama Ruge Mutahaba ambaye hakufunga ndoa yoyote ila alikuwa na watoto alipofariki ulitaka mali zake apewe chipukizi wa Mwigulu Nchemba?
Hiyo hukumu haijazungumzia wale wasiokuwa na ndoa
 
Namna nzuri ya bila "Figisu Figisu" ya kutaka mtoto wa nje apewe sehemu ya urithi ni kuandika Wosia kwa taratibu zilizowekwa kisheria, vinginevyo atapata taabu sana kwenye mirathi.

Hao ndugu unaowatambulisha wanaweza kumkana, wao ni binadamu. Huyo mtoto ashukuru Ndugu hao wameamua kumtambua sababu walitambulishwa. Wangeweza kupigwa pesa wakauchuna na Mahakama isingefanya lolote.
 
Haya yote ni matatizo ya kutoandaa Wosia/ Will. Mawakili mnatakiwa mhamasishe sana jamii ielewe maana ya Wosia katika kupata haki.

Pia hata kama unataka mtoto wa nje au wa ndani asirithi mali zako weka kwenye Wosia wako (Will). Hata kama hutaki yeyote kati ya watoto wako, asirithi mali zako pia unaweza andika kwenye wosia. 😁

Kuna Mzee mmoja aliandika wosia wake na kuwapa mali zake zote wajukuu zake wa kiume kwa watoto wa kiume. Mahakama iliheshimu hilo mpaka leo hii. 😁
 
Kwa mfano, Nimezaa na mwanamke nje.

Ila huyo mtoto Mimi nikakataa kumtambua kama wangu.

Alafu Mwanamke huyo wa Nje, akamtambulisha Kwa ndugu zangu.

Kwahiyo Et kisa Ndugu zangu wametambulishwa, ndo sasa mtoto APATE mgao??.

Nawapa hii, Kuna demu juzi Kati hapa, Jamaa yake kampiga chini ,kisa kuko hivo

Demu ana mtoto mchanga, huyo mtoto mchanga ana kadi Tatu, na Kila Kadi Ina Baba wake, yaani mtoto ana Baba watatu.

Huyu demu Kila Baba alikua ni wake, na hata Ndugu za Jama yangu walikua ni wao.

Kwahiyo hapo ikitokea Jamaa kafa, huyo mtotowrmye Baba watatu apewe mgao??.

NADHAN MAHAKAMA HII IKIWA NA MAJAJI WATATU, IMEENDELEA KUDHIHIRISHA KUA TANZANIA TUNA WATU WAJINGA SANA WENYE ELIMU LKN HAWANA MAARIFA.

Nadhani Mahakama ingetengeneza Msingi wa Uhalali wa mtoto utokane utokane na DNA, na kwamba Bila kujalisha mtoto alitambulishwa au Lah, kwakua DNA haidanganyi, basi Mtoto wa Nje apate urithi Kwa haki yake ya DNA nasio kutambulishwa

Kama kutambulishwa , kwani wangapi wametambulishwa lkn sio watoto wa Damu zetu??.

Hili Sasa linaenda kufanya WANAUME WAWAKATAE WATOTO NA MIMBA , mapema kabisa.

Lakini Pia wanaume Sasa, Ni marufuku mchepuko Kuruhusu afahamiane na Ndugu zako.
DNA pia inaweza wakaataa watoto wa ndani ya ndoa na ikawatambua wa nje ya ndoa,hapo ndiyo utajua kua kumbe ulikua umepigwa home ground na mkeo,sema watoto wa mchepuko wamekutoa mrithi kwenye DNA!!
 
Haya yote ni matatizo ya kutoandaa Wosia/ Will. Mawakili mnatakiwa mhamasishe sana jamii ielewe maana ya Wosia katika kupata haki.

Pia hata kama unataka mtoto wa nje au wa ndani asirithi mali zako weka kwenye Wosia wako (Will). Hata kama hutaki yeyote kati ya watoto wako, asirithi mali zako pia unaweza andika kwenye wosia. 😁

Kuna Mzee mmoja aliandika wosia wake na kuwapa mali zake zote wajukuu zake wa kiume kwa watoto wa kiume. Mahakama iliheshimu hilo mpaka leo hii. 😁
Wosia ukiandikwa unahifadhiwa wapi??

Ova
 
Back
Top Bottom