Kwa mfano, Nimezaa na mwanamke nje.
Ila huyo mtoto Mimi nikakataa kumtambua kama wangu.
Alafu Mwanamke huyo wa Nje, akamtambulisha Kwa ndugu zangu.
Kwahiyo Et kisa Ndugu zangu wametambulishwa, ndo sasa mtoto APATE mgao??.
Nawapa hii, Kuna demu juzi Kati hapa, Jamaa yake kampiga chini ,kisa kuko hivo
Demu ana mtoto mchanga, huyo mtoto mchanga ana kadi Tatu, na Kila Kadi Ina Baba wake, yaani mtoto ana Baba watatu.
Huyu demu Kila Baba alikua ni wake, na hata Ndugu za Jama yangu walikua ni wao.
Kwahiyo hapo ikitokea Jamaa kafa, huyo mtotowrmye Baba watatu apewe mgao??.
NADHAN MAHAKAMA HII IKIWA NA MAJAJI WATATU, IMEENDELEA KUDHIHIRISHA KUA TANZANIA TUNA WATU WAJINGA SANA WENYE ELIMU LKN HAWANA MAARIFA.
Nadhani Mahakama ingetengeneza Msingi wa Uhalali wa mtoto utokane utokane na DNA, na kwamba Bila kujalisha mtoto alitambulishwa au Lah, kwakua DNA haidanganyi, basi Mtoto wa Nje apate urithi Kwa haki yake ya DNA nasio kutambulishwa
Kama kutambulishwa , kwani wangapi wametambulishwa lkn sio watoto wa Damu zetu??.
Hili Sasa linaenda kufanya WANAUME WAWAKATAE WATOTO NA MIMBA , mapema kabisa.
Lakini Pia wanaume Sasa, Ni marufuku mchepuko Kuruhusu afahamiane na Ndugu zako.