Neno Haram sio tusi bali ni kumaanisha kitu kilicho nje ya utaratibu. Kinyume cha neno Haram ni Halal.
Utaratibu unaotambulika popote ni mwanaume kupata mwanamke kwa kufuata taratibu kisha kuanzisha familia na huyo mwanamke then wapate watoto na kuendeleza familia.
Sasa wewe unapita pita huko unakwenda kulala na wanawake hovyo bila taratibu kisha unapata nao watoto then what next?
Na ndio maana watoto wengi ambao wanachangamoto ukiwatafiti utakuta wana matatizo ya malezi especially upande wa baba "Daddy issues".
Sent from my JKM-LX1 using
JamiiForums mobile app