Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Nyerere yupi? Maana siyo busara kutumia jina la baba wa taifa kwenye habari za kihuniHii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani.
Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar .
Hii imetokea jana baada ya wanakijiji kufanya mkutano chini ya mbuyu katika shule ya msingi Butiama na mtoto wa Nyerere kutuhumiwa kuwahujumu watoto wa shule ya msingi.
Naomba kuwasilisha.
Mtoto huyu wa Baba wa Taifa, atakuwa ni Andrew tuu, huyu ni issue, anapaswa kuwa handled with care. Familia zote watoto wote hawawezi kufanana, mkiisha jijua mna mtoto mmoja ambaye ni issue, watu wote wa familia wakiwemo walinzi, wanakuwa notified to be very careful during kipindi cha mwezi mpevu, anacharuka, dawa sio kumjia juu au kumuwekea vikao vya kijiji, kifamilia au kumripoti polisi, dawa is to handle him delicately with maximum care, atatulia na maisha yataendelea!.Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani.
Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar .
Hii imetokea jana baada ya wanakijiji kufanya mkutano chini ya mbuyu katika shule ya msingi Butiama na mtoto wa Nyerere kutuhumiwa kuwahujumu watoto wa shule ya msingi.
Naomba kuwasilisha.
Daaah !!!!!!Mtoto wa Nyerere kafukuzwa tena.
True Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama.Habari ina gapes nyingi mtoa mada anadhani wafu wote wanawajua hao watoto wa Nyerere ..all in all kijiji kizima hadi wakae kikao dhidi ya mtu mmoja basi huyo mtu atakuwa na matatizo tu
Huyo ni Andrew Nyerere, mtoto wa MwalimuNyerere yupi? Maana siyo busara kutumia jina la baba wa taifa kwenye habari za kihuni
Ana matatizo gani
Huyo aliyeandika ndiyo yeye huyo mrithi wa Nyerere.Nyerere yupi? Maana siyo busara kutumia jina la baba wa taifa kwenye habari za kihuni
Wewe ni Gen Z?Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani.
Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar .
Hii imetokea jana baada ya wanakijiji kufanya mkutano chini ya mbuyu katika shule ya msingi Butiama na mtoto wa Nyerere kutuhumiwa kuwahujumu watoto wa shule ya msingi.
Naomba kuwasilisha.
Mdakuzi Njoo uone kile nakwambiaga.Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani.