Mtoto huyu wa Baba wa Taifa, atakuwa ni Andrew tuu, huyu ni issue, anapaswa kuwa handled with care. Familia zote watoto wote hawawezi kufanana, mkiisha jijua mna mtoto mmoja ambaye ni issue, watu wote wa familia wakiwemo walinzi, wanakuwa notified to be very careful during kipindi cha mwezi mpevu, anacharuka, dawa sio kumjia juu au kumuwekea vikao vya kijiji, kifamilia au kumripoti polisi, dawa is to handle him delicately with maximum care, atatulia na maisha yataendelea!.
Lakini pia kwa vile Andrew ni member mwenzetu humu, wana jf we have a duty of care kumsaidia na kuwasaidia watu kama hawa.
Mimi ni miongoni mwa self proclaimed mshauri nasaha wa kujitolea, nimeisha saidia wengi kwa ushauri wangu humu, akiwemo yule Blaza wangu aliyetagulia, naye alikuwa issue, jf tumemsaidia sana.
Andrew ni issue, tumsaidie!.
Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na Kususwa! He Needs Help, Tumsaidieje?
P