Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani.
Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar .
Hii imetokea jana baada ya wanakijiji kufanya mkutano chini ya mbuyu katika shule ya msingi Butiama na mtoto wa Nyerere kutuhumiwa kuwahujumu watoto wa shule ya msingi.
Naomba kuwasilisha.
Steve au yeriko?
 
Mtoto huyu wa Baba wa Taifa, atakuwa ni Andrew tuu, huyu ni issue, anapaswa kuwa handled with care. Familia zote watoto wote hawawezi kufanana, mkiisha jijua mna mtoto mmoja ambaye ni issue, watu wote wa familia wakiwemo walinzi, wanakuwa notified to be very careful during kipindi cha mwezi mpevu, anacharuka, dawa sio kumjia juu au kumuwekea vikao vya kijiji, kifamilia au kumripoti polisi, dawa is to handle him delicately with maximum care, atatulia na maisha yataendelea!.

Lakini pia kwa vile Andrew ni member mwenzetu humu, wana jf we have a duty of care kumsaidia na kuwasaidia watu kama hawa.

Mimi ni miongoni mwa self proclaimed mshauri nasaha wa kujitolea, nimeisha saidia wengi kwa ushauri wangu humu, akiwemo yule Blaza wangu aliyetagulia, naye alikuwa issue, jf tumemsaidia sana.

Andrew ni issue, tumsaidie!. Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na Kususwa! He Needs Help, Tumsaidieje?

P
Andrew Mzee atawahujumu vipi watoto wa Shule ya Msingi
 
🤣
Siijawahi kumsikia kabisa Mkuu, niliopata kuwasikia ni
  1. Makongoro
  2. Madaraka
  3. Rose
  4. John (kama sijakosea)
Na huyu pia. Anaitwa Andrew. Watu wanaokaa Msasani hasa miaka ya nyuma wanamjua sana kwani ni maarufu sana maeneo hayo. Haya maneno na watu na mtu mzuri sana. Msomi mzuri. Ila ndiyo hivyo kuna wakati anakuwa kama kuna nati imekatika.
 
Back
Top Bottom