Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

Mtoto huyu wa Baba wa Taifa, atakuwa ni Andrew tuu, huyu ni issue, anapaswa kuwa handled with care. Familia zote watoto wote hawawezi kufanana, mkiisha jijua mna mtoto mmoja ambaye ni issue, watu wote wa familia wakiwemo walinzi, wanakuwa notified to be very careful during kipindi cha mwezi mpevu, anacharuka, dawa sio kumjia juu au kumuwekea vikao vya kijiji, kifamilia au kumripoti polisi, dawa is to handle him delicately with maximum care, atatulia na maisha yataendelea!.

Lakini pia kwa vile Andrew ni member mwenzetu humu, wana jf we have a duty of care kumsaidia na kuwasaidia watu kama hawa.

Mimi ni miongoni mwa self proclaimed mshauri nasaha wa kujitolea, nimeisha saidia wengi kwa ushauri wangu humu, akiwemo yule Blaza wangu aliyetagulia, naye alikuwa issue, jf tumemsaidia sana.

Andrew ni issue, tumsaidie!. Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na Kususwa! He Needs Help, Tumsaidieje?

P

Sisi wafuasi wa brother, tunaamini brother alikuwa sawa tu, ilimbidi awe vile ili kufanikisha baadhi ya mambo yaliowatesa watanzania.
 
Mtoto huyu wa Baba wa Taifa, atakuwa ni Andrew tuu, huyu ni issue, anapaswa kuwa handled with care. Familia zote watoto wote hawawezi kufanana, mkiisha jijua mna mtoto mmoja ambaye ni issue, watu wote wa familia wakiwemo walinzi, wanakuwa notified to be very careful during kipindi cha mwezi mpevu, anacharuka, dawa sio kumjia juu au kumuwekea vikao vya kijiji, kifamilia au kumripoti polisi, dawa is to handle him delicately with maximum care, atatulia na maisha yataendelea!.

Lakini pia kwa vile Andrew ni member mwenzetu humu, wana jf we have a duty of care kumsaidia na kuwasaidia watu kama hawa.

Mimi ni miongoni mwa self proclaimed mshauri nasaha wa kujitolea, nimeisha saidia wengi kwa ushauri wangu humu, akiwemo yule Blaza wangu aliyetagulia, naye alikuwa issue, jf tumemsaidia sana.

Andrew ni issue, tumsaidie!. Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na Kususwa! He Needs Help, Tumsaidieje?

P
Andrew Nyerere ndiye Poppy Hatonn mwenyewe.
 
Kuhusu yule mtu anayesema jana alikwenda Upanga kwenye Buddhist Temple akaongea nao akakuta kwamba they do not have any great knowledge of Buddhism,well,mimi ndiye Katibu Mwenezi kule na sasa nataka nukuu moja;

If among them you ask what are the six attributes that should be perfected on the sixth level,they are the six perfections-- that is,the perfection of generosity,the perfection of ethical discipline,the perfection of tolerance,the perfection of perseverance,the perfection of meditative concentration,and the perfection of wisdom should be perfected. If you ask why,it is because, while acting in these six perfections,the blessed lord buddhas,the sravakas,and the prattyekhabuddhas have gone,are going and will go to the other shore of the five objects of knowledge.

If you ask what are these five, they are the future, the present,the past, the inexpressible,and the unconditioned.
Metaphysics.
 
Poppy Hatonn

Rev. Pannasekara bado yupo hapo Buddhist Temple Mindu St. Upanga, yupo South Africa au karudi Sri Lanka?
 
Huyu atakuwa ni Andrew Nyerere ambaye ndip huwa taarifa zake zinaletwa humu
🤣
Ni huyu👇
1720985527830.png
 
Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani.
Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar .
Hii imetokea jana baada ya wanakijiji kufanya mkutano chini ya mbuyu katika shule ya msingi Butiama na mtoto wa Nyerere kutuhumiwa kuwahujumu watoto wa shule ya msingi.
Naomba kuwasilisha.
Nyerere yupi jaman
 
Andrew inaonekana mtuhumiwa ni wewe
 
Back
Top Bottom