Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

Haha wale wameridhika na maisha wanaoishi na huduma wanayopewa kutoka serikalini

Ova
 
Brother Andrew unazingua sana ujue, wewe wa kugombea hela na vijukuu kweli?
Point ni kwamba unaposema mtoto kahujumiwa,kwa mfano,unatoa taarifa polisi, mtoto kahujumiwa,polisi wanakuambia,chukua PF3 ,nenda hospitali,fanya hivi na hivi,halafu urudi hapa baadaye,,we will take it from there. Ndiyo utaratibu wa polisi,ili watu wasanii wasilete fujo. Lakini,in this case,that is not happening.
Na hizo hela sijaziona. Mambo shameful yanatokea. Kwa ajili,kidunia,tamaa za pesa haziibui maswali,kwa hiyo watu wanafanya haya makosa.
Tunaongea kuhusu political corruption,tunaulizana vipi,hii corruption imetoka wapi?
Yule Waziri Mkuu mpya wa Uingereza aliposhika mike juzi alikuwa anasema," tutawasadia wananchi,politics za mtu kujinufaisha mwenyewe ni politics za zamani."
Lakini ukweli ni kwamba there is no political corruption. The politicos are behaving just in accordance with what is written in their political textbooks.
Wanafundishwa,"viongozi wanaogopa kuiba,wanaogopa kukamatwa,halafu wanasema,eti,kuiba fedha za umma ni dhambi. Sisi ambao hatuogopi tunaiba,maisha yetu yanakuwa mazuri"
Wale Wagiriki wa zamani walikuwa wanamwambia Socrates"sisi tunafikiria kiongozi anatakiwa kujinufaisha yeye mwenyewe,lakini wewe Socrates unasema nini? Lakini,we are very interested in what you are saying,hebu tueleze kuhusu hizi njozi zako. Unasema nini, kiongozi anatakuwa kuwa msafi? . Please,try and educate us"
Soma ile "The Republic " Utaiona pale in the first chapter.
 
Mimi nimeondoka Dar Novembs,sasa ndio narudi,sasa nipo Kibaha.
Bora Baba, ukapumzike zako Msasani. Hali ikitulia utarudi tena kijijini. Kwasasa kacheze na wajukuu.

* Mnaomsema vibaya na kumcheka si sawa huyu ni Baba na wengine ni babu yenu. Huwa anakuja na kupotea humu, anaandika hivyohivyo na mara nyingi hiyo ya kufukuzwa na walinzi. Hata Msasani alishasema kafukuzwa! ni Andrew Nyerere.
 
Hujataja yale yanayomfanye tuone anahitaji uangalizi. Hata kama ni machache, lakini kwa umuhimu wake hayo machache tunaona ni muhimu apatiwe uangalizi.

Ova
 
Daaaaah !! Sawa brother Andrew nimekupata nafikiri umefika salama
 
Poppy Hatonn umeandika kuhusu The Republic.

Unamwambia mtu akisome. Watanzania wengi hawajui Kiingereza bado.

Kuna sehemu nilisikia kuwa Mwalimu Nyerere alikitafsiri hiki kitabu kwenda Kiswahili, lakini hakijachapishwa.

Hizi habari ni kweli?
 
Hujataja yale yanayomfanye tuone anahitaji uangalizi. Hata kama ni machache, lakini kwa umuhimu wake hayo machache tunaona ni muhimu apatiwe uangalizi.

Ova
Hamna chochote cha kumpa uangalizi.na alisema mwenyewe anao ulinzi mda wote.
Na kaandika tena,We ukimuita mlevi wakati yeye si mlevi atakaa kimya hatajibu.
Utaibiwa na wengine kwamba yeye si mlevi,sio kazi yake kukujibu
 
Hapo kwenye kusafiri kwa basi ndio ngachoka kabisa🙌🙌
Watoto wa Nyerere wamejiweka kawaida sana.

Kuna siku zamani miaka ya mwanzo ya tisini nilikutana na dada yao mmoja alikuwa lecturer anafundisha IFM nafikiri Rose yule, alikuwa ndani ya daladala pale kituo cha Palm Beach Upanga anakuja mjini, halafu alikuwa kakosa siti kajisimamia mwenyewe kashika bomba wala hata hajali ameshika hamsini zake.

Watanzania wamepanda basi nao wengi hata hawakumjua huyu mtoto wa Nyerere.

Kwa mwendo ule nikaona hakuwa na mashauzi kabisa.

Sasa nenda tafuta watoto wa marais waliofuata uone ukwasi wao.
 
Marais gani? huwajui majina au unafiki..unajua si watoto wa marais wote wanabehave vibaya
 
 
Kuna siku yatamkuta "MTIRO"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…