Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Sep 1, 2024 #201 Mzee kwanzia nchi hadi malezi ya familia aliambulia 0
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,221 Reaction score 22,496 Sep 1, 2024 #202 Lucha said: Mzee kwanzia nchi hadi malezi ya familia aliambulia 0 Click to expand... Mzee laana ya familia yake katuachia nchi nzima
Lucha said: Mzee kwanzia nchi hadi malezi ya familia aliambulia 0 Click to expand... Mzee laana ya familia yake katuachia nchi nzima
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 13,336 Reaction score 12,370 Sep 1, 2024 #203 DR HAYA LAND said: Mtoto wa Nyerere ndo Andrew ana umri 71 yrs now Ni vizuri akawekewa misingi imara mtoa mada ndo Andrew mwenyewe Click to expand... Miaka 71 ni mtoto mkubwa, labda kama anatatizo la afya ya akili
DR HAYA LAND said: Mtoto wa Nyerere ndo Andrew ana umri 71 yrs now Ni vizuri akawekewa misingi imara mtoa mada ndo Andrew mwenyewe Click to expand... Miaka 71 ni mtoto mkubwa, labda kama anatatizo la afya ya akili
Jerry001 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 585 Reaction score 1,299 Sep 3, 2024 #204 Huyo jamaa namfahamu, ki ukweli anatakiwa kufukuzwa nchi kabisa