Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Umeamua kujizima dataKatoa yeye au katoa baba yake na Mama yake kupitia yeye
Humuoni Mama yuko karibu
Sasa plain paper Lim moja elfu 12 dogo ashindwe kutoaKatoa yeye au katoa baba yake na Mama yake kupitia yeye
Humuoni Mama yuko karibu
Hivi hawa woote hawaono aibu au ukiwa siasa akili umazikaliaas ?? Khaaa siaminiii ujinga huuuLike father, like son!View attachment 3102195
Agiza pepsi baridi kwa bill yakohuyo atakuja kuwa waziri wetu gen z kwenye 2050s huko 2060s
Miaka 26 ijayo utakuwepo kijana? Na kasi yenu ya kunywa visungura na Azam energy?huyo atakuja kuwa waziri wetu gen z kwenye 2050s huko 2060s
2050 mbali sanaaaaaahuyo atakuja kuwa waziri wetu gen z kwenye 2050s huko 2060s
Unaweza kuta kuna watu walimuamkia!Utakuta wamekafungulia na mlango wa gari. CCM kuna vichaa wengi