Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Kwa hiyo kila mtu awe mwanasiasa? Nani atamuongoza nani sasa!Halafu Kuna Vijana utawasikia Kijiweni wanasema hawataki Siasa
Endeleeni kukataa Siasa ili muendelee kuongozwa na Watoto wa akina Mwigulu 🙌