Mtoto wa nyoka ni nyoka; Isack Mwigulu atoa msaada wa ream paper kwa Uvccm Singida

Mtoto ana mgongo laini huyu anapaswa kukunjwa angali mbichi

Na hii media iliyosambaza hii habari iache ubwabwa yani Rim mbili ni kitu cha kuutangazia umma?
 
Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚eti na washikaji makofi mengi sana.

Hizi ni comedy za Tanzania ya leo. Kama ana uwezo, namtakia kila lililo jema. Ila kama ni kuanza kutulazimisha hata watoto wao wasio na uwezo, weledi wala maarifa ya kutuongoza waje kuwa viongozi, itakuwa hasara yetu kubwa.
Otherwise, kila lililo jema kwa mtoa misaada mpya kutoka huko Singida.
 
Ila hii nchi ina vituko..yani hiyo mizee yote hapo imekaa kukishangaa hicho kitoto hapo kinawaigizia eti kimetoa msaada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…