Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Una mpangia adui siraha ya kutumia?Ujinga tu!, maswala ya kumuhukumu mtoto kwa dhambi za baba yake huo ni upumbavu ama ujinga wa hali ya juu!.
Kama mtu ahusiki moja kwa moja na madhambi ya baba yake basi hatakiwi kuhukumiwa nayo, issues za kuhukumu kizazi ni ulimbukeni,ujinga na uzwazwa!.
Kama Msigwa anawananga mabeberu uku litoto lake linasoma US, hapo Marco Rubio ndo maana anawatimuacommunists wote wako hivyo, they preach water and drink wine, wale mamullah wa islamic republic irani watoto wako USA na capital cities of europe full kujiachia, ila kule irani baba zao wanatembeza kichapo kwa watoto wa wengine, hiyo ndiyo communism ...
Dawa bongo ni silaha, watu wakipata bunduki ata 100 nchi nzima aisee kuwamwaga ubongo hao vibaka ni dakika 0Ilipaswa hata hawa polisiccm huku mtaani watengwe na jamii na huduma muhimu wasipewe
akifika dukani hata kama bidhaa anaiona lakini muuzaji amwambie bidhaa hiyo imeshanunuliwa au imeisha
Who cares??Hawezi kubeba makosa ya baba yake?
Hana kosa, kama baba yake amewakosea mbebesheni mwenyewe.
Who cares??Ujinga tu!, maswala ya kumuhukumu mtoto kwa dhambi za baba yake huo ni upumbavu ama ujinga wa hali ya juu!.
Kama mtu ahusiki moja kwa moja na madhambi ya baba yake basi hatakiwi kuhukumiwa nayo, issues za kuhukumu kizazi ni ulimbukeni,ujinga na uzwazwa!.
Hii sio sifa, huu ni uendawazimu!Daa watanzania sasa wamekuwa kama Iran, wanapeleka moto hatari.
Nchi za Scandnavia, Norway, Sweden na Denmark sio nchi za kibeberu, hawa sio wanyonyaji, mashirika yao ya misaada ya NORAD, SIDA na DANIDA, yameisaidia sana nchi yetu, na misaada yao haina masherti.Prof Kabudi pamoja na kuwananga mabeberu kumbe Binti yake anafanya kazi Norway as a lecturer
Huu ni uendawazimu!.Sasa Watanzania na Wakenya Wamejipanga kuandamana kwenye chuo anachofundisha uyo binti Ili uongozi wa chuo ujue Binti uyo anafaidika Kwa damu za Watanzania.
Kwanza what has makosa ya baba got to do na mtoto wake?!.Wanajipanga staff na students wa huyo Binti wa Kabudi wajue baba yake na uyo Binti ni muuaji na anadidimiza haki za watu.
Kama kweli kuna Mtanzania ataandamana, nitaamimi kumbe Watanzania vichaa wako mpaka nchi za kiungwana na kistaarabu!.N.B watanzania mtakao andamana hapo Norway mpelekeeni moto huyo kibaka,Ili baba yake atie akiri.
Mbona watoto wa wakuu IRGC Iran watoto wao wengi wako Marekani.Kama Msigwa anawananga mabeberu uku litoto lake linasoma US, hapo Marco Rubio ndo maana anawatimua
LogicWho cares??
Kwa nini asibebe makosa ya baba yake. Huyo mtoto moja kwa moja ana msapoti huyo baba yake. Lazima apelekewe moto.Hawezi kubeba makosa ya baba yake?
Hana kosa, kama baba yake amewakosea mbebesheni mwenyewe.
Mnamezeshwa matango pori na mabeberu hasa nyinyi mlioko huko kwao kuosha vibibi vya kizungu....communists wote wako hivyo, they preach water and drink wine, wale mamullah wa islamic republic irani watoto wako USA na capital cities of europe full kujiachia, ila kule irani baba zao wanatembeza kichapo kwa watoto wa wengine, hiyo ndiyo communism ...