Mtoto wa Palamagamba Kabudi, kuonja jiwe la moto Norway

Wale ma ayatollah wanakufa mara mbili wakiona hivi.NA ukweli usiopingika, Irani haitarudi tena kule ilikotoka. Muda utaongea. Ingawa, haina maana Israel atawawekea puppet government
Haya unayoaona yalikuwepo kabla ya vita….
Sema mmejazwa ujinga na US na wayahudi wakati watalii wengi wa Europe wanajazana Iran bila shida ndio maana Europe imetolea mbavuni trump kuingia kwenye vita…
 
Watafukuzwa wote hao punguani kabisa,
profesa Kabudi mwenyewe hana shida na mtu kabisa ye mwenyewe ni huku mala kule.
Mnaenda kumtilia unafki mwanae,
Nyie ni wachawi pumbavu.
 
Karibu denmark mzee wa karma 😄

Ova
 
Mtu ambae afaidiki kwa nafasi ya mzazi wake leo. Yupo huko anapambana kivyake na maisha yake, tena kwenye post ya merit (you don’t just become a lecturer; there is a lot of commitment to gain that post).

Mambo ya Tanzania yanamuhusu vipi mtoto wa Kabudi kwenye vita vyake huko halipo.

We need to get our priorities straight kwenye kupambana na hii mijizi; sio kila mtu adui yetu (shida zetu azimuhusu kila mtu).

Mtu hata hana habari na Tanzania politics unamsaka na kumuanzishia ugomvi ambao aujui, too much time on our hands to think unreasonably.

On the other hand baba yake Kabudi what a nuisance for the prosperity of Tanzania.
 
Damu ya baba yake pia iko juu yake. Ashughulikiwe tu. Huyo kabudi alikuwa anatetea uaji na bado anaendelea kutetea mauaji. Mtoto wa nyoka ni nyoka tu
 
Damu ya baba yake pia iko juu yake. Ashughulikiwe tu. Huyo kabudi alikuwa anatetea uaji na bado anaendelea kutetea mauaji. Mtoto wa nyoka ni nyoka tu
I don’t subscribe to the notion of third part liability, as much as the law finds it hard to ascribe to it (that is based on theories of justice).

Mtoto wa Kabudi ni independent being, maisha yake, matendo yake na mengineo yote leo; hayana uhusiano wowote na nafasi ya baba yake kwa mazuri au mabaya yake.

Sasa kwanini umtafute and implicate him/her kwa mambo ambayo hata kisheria hayana tie.

Cha msingi hapa tujifunze kupambana na vita yetu ya maisha kwa uhalisia. Kuingiza watu wasiofaidika na lawama zetu hizo sasa ni mental issues.

Mtu yupo huko halipo, ame-hustle kufika halipo; ana maisha yake mengine. Unataka kumpa lawama na actions za mzazi wake. Unajuaje kama hata wanaafikiana ana kwa ana na matendo ya mzazi wake. Ilhali wana different lifestyles on naked observation.

Let’s learn to deal with our outright life challenges; sio kila mtu/kitu/jambo lisilo kuhusu ni tatizo lako.

Hizo ni akili finyu za kutafuta lawama ambazo hazipo; ni kuishiwa mawazo na kuanza wivu.
 
Ngombe
 
Who cares?
 
Sio ukichaa ndo ivyo kibiblia ukifanyacho leo kina athari hadi kizazi chako cha nne
 
Sahihi kabisa.
 
Paskali sasa naamini uzee na utu uzima unakuja na mengi. Best brain ya akina Kabudi, haipimwi kwa vyetu, kauli wala gpa. Uwezo wa akina Kabudi unapimwa kwa vitendo. Hivi Paskali tangu PJAM Kabudi ameingia kwenye siasa, show me one of his tangible achievements, ambayo watanzania wanaweza kujifungamanisha nayo. Show me please. Hata huko aliko mbunge, kafanya Kili cha maana?

Huyo mtoto wake sijui alifikaje Norway. Lakini definitely jina la baba yake lilimpa “songesha”. Na kuandamana dhidi yake, siyo chuki, it’s more to do with messaging. Kwa nini baba yake apeleke mwana e Ulaya kupata Yale ambayo anawanyima watanzania?

Kwa faida yako tuu, there’s no free lunch. Beberu ni beberu. Awe ni USAID au awe SIDA au NORAD. They’re all in the same basket. If you know, you know.
 
Chai
 
Mbona watoto wa wakuu IRGC Iran watoto wao wengi wako Marekani.
Mtoto wa kike wa Larjani aliyekuwa mkuu wa kitengo Cha usalama if not mistaken kasitishwa kazi USA, anatakiwa aondoke haraka.
Alikuwa lecturer jama huyo binti wa Kabudi. Watu wakaandamana mfano wa wanachotaka kumfanyia wa Kabudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…