Mtoto wa Palamagamba Kabudi, kuonja jiwe la moto Norway

Huna akili
 
Upumbavu kama huu unathibitisha mnatumwa Mbwa nyinyi

Mtoto wa kike unamuonea wivu.!

Kama kabudi anaiba na anaua kwa ajili ya mtoto wa kike basi atuue wote sio shida zetu

Hakuna ushenzi mbaya duniani kama kuchukia mtoto wa kike nyambaf kabisa
 
Kazi kweli kweli.... Mtoto anabeba msalaba wa mzazi
 
Kwa hiyo Kabudi alihonga mwanaye awe Lecturer Norway? Unajua sifa za mtu kuwa Lecturer? Na hata huu uongozi Kabudi kaupata sio miaka mingi kwahiyo hadi mwanae kuwa Lecturer alifanya jitihada kabla ya hapo. Acheni upumbavu ndugu zangu.
 
Nani bora, muosha vizee anayepata pesa yake kwa jasho au chawa anayetegemea vya Kanyonga CCM kama wewe na wenzake?
 
Kwa hiyo Kabudi alihonga mwanaye awe Lecturer Norway? Unajua sifa za mtu kuwa Lecturer? Na hata huu uongozi Kabudi kaupata sio miaka mingi kwahiyo hadi mwanae kuwa Lecturer alifanya jitihada kabla ya hapo. Acheni upumbavu ndugu zangu.
Possibly wewe umekutana na Kabudi Lumumba au umekutana naye barabarani. Mimi kanifundisha. I know him.
 
Mkuu Masa, Masanja , kwanza nikushukuru na kukupongeza kwa logical arguments, hata kama hatukubaliani lakini hoja zako ni logical argument na very objective.

Sijui wewe mwenzangu umesoma chuo gani, lakini mimi nimesoma UDSM, kwenye zile reseach papers zetu, unatoa copy 5, moja ni copy yako, zile 4, moja inapelekwa UDSM Library, ukiingia UDSM library, section ya Research, unakutana na ma kabrasha na ma kabrasha ya ma research maelfu kwa maelf, yamejaa kwenye shlvers, yamejaa vumbi, watu wanafanya research ili tuu kupata masters, Ph.D na sio kutafuta solutions za matatizo yetu kama nchi, halafu wale wenye bunifu, kule VETA na COSTECH, bunifu zao zikibiasharishwa zinaleta matokeo!, hivyo wasomi wetu wengi ni wasomi wa theories na sio practical.

Angalau Prof. Kabudi, ndie the brain behind sheria yetu mpya ya madini yenye ile 16% free caried shares za serikali kwaniaba ya Watanzania, na ile sheria mpya ya Rasilimali za Taifa, ambapo wakati inapitishwa, mimi niliuliza humu, Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts? Masikini JPM, they couldint protect him!, akatwaliwa na sheria hii ikawekwa pembeni!.

Kitu cha ajabu ni aliyeitunga sheria hiyo akiwa Bungeni, Bunge likaletewa IGA ya DPW na bandari zetu ambayo imekiuka sheria hii, na yeye akiwa Bungeni, IGA hiyo ikapitishwa without any resevations. Pia nikauliza, Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?
IQ ya mtoto inachangiwa na IQ za wazazi, sisi tuliosoma St. Kayumba wakati wa elimu ya UPE, Shule ya Mlimani ndio ilikuwa inaongoza kupasisha!.
Kwa faida yako tuu, there’s no free lunch. Beberu ni beberu. Awe ni USAID au awe SIDA au NORAD. They’re all in the same basket. If you know, you know.
Kwa hili nakiri, I didn't know!.

P.
 
Hii inaonyesha wananchi wana chuki kwa kuwa wamenyimwa mahali pa kutolea madukuduku yao.
 

Yaani waunganishe makosa ya mzazi kwa mtoto ambaye anajitegemea?
HAPA NDIPO NAONA TUNACHANGAMOTO KWENYE UWEZO WA KUFIKIRI
 
Chadema, you are finished ooooooooo. Sasa mtoto na Baba yake wapi na wapi. Niidhani wenzetu mlioko huko Ulaya mna akili kumbe na nyinyi ni vichwa wazi tu. Yaani hao mnaojiita staff na students wote ni bure kabisa.
 
Mkuu Paskali ya UD Achana nayo. Tulikuwa wote kitivo. Wakati unakuja special reserve na miwani yako black na ile pikipiki kubwa….nzengo tulikuwa tunakuzoom tuu.

In all, most of us, know Kabudi kama intelligent man. Lakini kwangu shida kubwa ya wasomi wetu, activism inaishia chuo. Chunguza sana. Wote waliotoka vyuoni kwenda serikalini, kuhoji kuliishia siku ya appointment. Again, ni haki yake maana alitolewa jalalani. Then Kama ni hivo, akae kimya agawane kasungura kake na wateule wenzake.

Wananchi wasubiri ukombozi wa Gen Z
 
Hizo sio harakati, ni wivu tu......

"Kweli nimeamini umasikini unaanza kichwani"
Mke na Mtoto wa Putin walifukuzwa Uswiss kwa sababu Putin alivamia Ukraine
Account za ndugu zake wakaribu na marafiki vile vile ilibidi zifungwe
Abromovich alifukuzwa uingereza na akanyang'anywa umiliki wa Chelsea
Sanction za China hupewa wewe na watoto wako

Sasa hapo ni wivu au nini?
 
Kwamba mtoto wa Samia awe ni Afisa Usalama mkuu wa Norway then watu waache kuandamana kuwaambia wa-Norway kitu mamayake anawafanyia wananchi wa Tanzania?
Ngoja waambiwe wao watachagua.
 
Wanajipanga staff na students wa huyo Binti wa Kabudi wajue baba yake na uyo Binti ni muuaji na anadidimiza haki za watu.
 
Hii ni ishara ya utumwa wa fikra, sasa Uswiss, Uchina, Chelsea vinauhusiano gani na Tanzania? Waafrika tuamke...
 
Tumefika hapa kwa sababu ya wajinga walioamua kuziba masikio na kufumba macho.

Nilisema tukikalia kimya udhalimu watu watatafuta namna ya kutolea maumivu yao.

Mwaka jana watu walipata namba ya simu ya mtoto wa Mafwele aliyepo South Africa na chuo anachosoma walimwaga matusi hadi binti alidelete ile account ya WhatsApp na walimsaka hadi kupata namba za chuo ndio wakaambiwa alishahitimu.

Watu wakiona watoto wao wanapotea halafu wa wengine wapo wanapeta huko nyie mnaambiwa wao wanajiteka, wanapotea kwa sababu za mapenzi na ushirikina mnategemea nini na wao watasema wakaharibu kuwadhuru na watoto wao.

Kukwepa uwajibikaji ndio kumetufikisha hapa .
 
Kwanza hao wa kuandamana na hakika ni wafuasi wa Chadomo
 
Huu ni ukichaaa sasa, Kila mtu ajibie dhambi zake sio dhambi za baba ajibie mtoto
Nadhani ni ujumbe kwa baba yake kuwa anaishi kwenye nyumba ya vioo, ugomvi mawe haumfai. Mtoto wake atakapokutana na kashkash atajua hata yeye hayuko salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…