Mtoto wa Palamagamba Kabudi, kuonja jiwe la moto Norway

Samaki mmoja akioza ni wote, kwani oct29 kila alokufa aliandamana au alichoma sheli?
 
Mizungu sio mijinga kiasi hicho kama miafrika kumuwajibisha mtoto for sins of her father.

BTW Kabudi mwenyewe kafanya nini exactly au angeweza kuzuia vp yaliyotokea?

Kuna mambo mnawaza hayamake any sense kama vichaa vile.
 
Huo ni utoto na ujinga pro max.
 
Hizi si
Hizi siasa za maji taka tutaziacha lini? Kosa la baba hukumu inamhusu vipi mwanae
 
Binti anafaidikaje na yeye ana naisha yake Norway, anafanya kazi yake?

Mnamhukumu binti kwa makosa ya baba yake?
 
Nani bora, muosha vizee anayepata pesa yake kwa jasho au chawa anayetegemea vya Kanyonga CCM kama wewe na wenzake?
Mnapelekwapelekwa tu, kwahiyo baba yake ndio kamtafutia kazi ya kuwa Lecturer ?
Au unadhani ni sawa tu na kama kuwa leckcha wa jalalalani ?
Hao waosha vizee wa Norway ni wajinga wajinga na ndio maisha ya Norway, hakuna mbadala, mbona hatusikii watu UK wakiandamana na ndio kuna watoto wengi wa hao CCM?,
Sababu huko UK kila mtu yuko bize na maisha yake hakuna ujinga wa kuosha vizee.......
 
Kwa kweli sijali kabisa kama watoto wa Mafwele au huyo fala Kabudi, nao wakipatwa na mambo mabaya kama ambavyo watoto wa wengine wanavyopatwa na mambo mabaya yanayotendwa na serikali ya CCM ambayo hao wazazi wa hao watoto wanaitumikia.

Nijali kitu gani wakati huyo Kabudi anaitumikia na kuitetea serikali ambayo imetenda matendo kama haya hapa chini dhidi ya watoto wa Watanzania wengine?



I don’t care one bit. Acha tu wapatwe na yatakayowapata kutokana na hizo dhambi za baba zao.

I’d prefer for them [kids, relatives, etc.] to be killed using hollow point bullets, just like how the innocent child were murdered by CCM.

It is what it is.
 
Naam, kwakua baba zao walikwepa uwajibikaji watoto wa wenzao walipotekwa, kuuwawa imefika mahali watu watatolea uchungu kwa watoto wao pia sababu hao baba zao wamezungukwa na mabunduki na wananchi hawana bunduki na utekaji unazidi kushamiri ni rasmi tumeingia zama za visasi baada ya October 29.
 
Nakubaliana na wewe. Hao watoto wa wakisimama kupinga baba zao wanachowafanyia watanzania italeta tofauti kubwa sana. Natamani nao wafe, watekwe, wafirwe etc, nione wazazi wao kama wataendelea kuunga mkono uovu unaofanywa na serikali haramu wanayoitumikia
 
Natumaini unafahamu hiki ni kisasi, si haki.
 
💯%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…