Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.
Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.
Swali- mtoto huyu wa rais wetu,ana cheo gani serikalini?!!
Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni,tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?!!
Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!
Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?!!
View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339