Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Vema.Si kila kitu kukichukulia negative tu.Tanguliza positivities mara nyingi zaodi.Quote: "Kwa hiyo kama ana mabaya yafichwe?"
1. Je, inapendeza kuyaanika mabaya ya mtu hadharani? Unaonaje na yale ya kwako yakaanikwa hapa ukizingatia kwamba hakuna aliye mkamilifu -kila mtu ana mapungufu yake.
2. Uzi hauna ubaya wowote isipokuwa watumiaji ndo tunatofautiana mitazamo.
3. Kumwona au kutokumwona hakunisaidii chochote na wala sitapoteza muda wangu eti kutaka kumfahamu kwani sina maslahi yoyote na mtu huyo.