Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amevunja ibara ipi ya katiba yetu? hii nayo ni post? Ulitaka asiajiriwe? Hivi watu mnawaza kwa kutumia viuongo gani? Hujui mtoto wa Museveni ni mkuu wa majeshi kule Uganda? Na je Rwanda unafahamu watoto wa Kagame wako ktk nafasi zipi. Mtoto wa rais ni dhambi kufanya kazi? Sijawahi ona mtu mpumbavu km wewe.
Sasa katiba ipi ivunjwe? Kwani hana haki ya kwenda Uganda? Kwani uliambiwa kaiwakilisha serikali kwenye jambo lipi?Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.
Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.
Swali- mtoto huyu wa rais wetu,ana cheo gani serikalini?!!
Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni,tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?!!
Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!
Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?!!
View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Ondoa blaa balaa zako hapa wewe na chuki zako za kijinga. Hata akifanya Biashara anayo haki hiyo ilimradi havunji sheria, kanuni na katiba ya nchi.Inaelekea ameenda kupiga deal zake za kampuni binafsi kuwekeza kwenye solar energy Uganda.
🤫 Sitoshangaa kusikia kwa upande wa Tanzania hii miradi TANESCO inayoingia ya kununua umeme wa renewables kuna kampuni moja, yeye na mama yake ni wabia (kama sio wamiliki 100%).
Hata huyo ameajiriwa,Mtu asie na hoja hukimbilia matusi!!
Mifano yako ya watoto wa Kagame na Mseveni ni thibitisho la upumbavu wako. Hao watoto wameajiriwa rasmi na hakuna vificho. Huyo unaemtetea tueleze ameajiriwa wizara gani?!! Ameenda kukubaliana mamboya umeme,kwa cheo gani na kutoka wizara ipi?!! Soma press release ya Museven labda utaelewa na kuacha matusi!
Kaandamane sasa...Halafu li Wambura linasema eti wanaoandamana wanataka kupindia serikali. Huyu mama anauza tanganyika yetu
Basi sawaWazanzibari Wote ni Watanzania lakin siyo Watanzania Wote ni Wazanzibari!
Huyo ndo ridhimoko wa awamu ya 6. Hata mkataba wa bandari yeye ndo alitumwa dukani kununua peni.Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.
Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.
Swali- mtoto huyu wa rais wetu,ana cheo gani serikalini?!!
Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni,tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?!!
Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!
Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?!!
View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Kapimwe akili yako wewe na uwe na heshima kwa mh Rais wetu. Hayo uliyoongea hapa ni uongo mtupu unaopaswa kupuuzwa na kila mtanzania ,kwa kuwa umejiandikia tu pasipo ushahidi wa aina yoyote ile.Anapiga deal za, familia,
Kama Hunter Biden, alivyokuwa anapiga deals Baba kule Ukraine!
Huyu mama, ni, mwizi, kama mzee wa msoga
Naona baada ya kudondokea pua mahakamani mmechanganyikiwa na akili zenu hazifanyi kaziHuyo ndo ridhimoko wa awamu ya 6. Hata mkataba wa bandari yeye ndo alitumwa dukani kununua peni.
Museven anasema ameenda kama mwakilishi kiongozi wa ujumbe wa Serikali kuzungumzia masuala ya nishati ambayo yanafall wizara ya nishati. Kama yeye siyo kiongozi wa hiyo Wizara waseme kaenda kama nani huko serikaliniKwani wizara imetajwa kwenye post ya Museven?
Hata uichukie bado CCM itaendelea kushinda na kupita kwa kishindo kikuu maana ndio chaguo la watanzania.Mimi ndiyo maana siku zote naichukia sana ccm na katiba yake mbovu ya 1977!
Ata ningekuwa Mimi,ningempa mwanangu,as long as anaqualify kufanya hiyo kaziRais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.
Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.
Swali- mtoto huyu wa rais wetu,ana cheo gani serikalini?!!
Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni,tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?!!
Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!
Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?!!
View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Mahakama si imesema nichukue bandari yangu? Au umevuta bange?Naona baada ya kudondokea pua mahakamani mmechanganyikiwa na akili zenu hazifanyi kazi
M7 naye hana siri mtu mzima hovyo,😅😅Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.