Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Tanzania ina wajinga wengi mmojawapo ni wewe..
Huoni conflict of interest kwenye nishati hapo?
Huoni kuna uwezekano bwawa la nyerere na vyanzo vingine vya umeme kuhujumiwa ili prince Dully auze umeme wake?
Tz ina wajinga wengi sana
Unaongea kama unajuwa kilichowapeleka Uganda na Kilichoongelewa huko.

Hizo ni chuki binafsi.
 
Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.

Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.

Swali- mtoto huyu wa rais wetu, ana cheo gani serikalini?

Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni, tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?

Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!

Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?

NB: Imewahi kuandikwa tetesi kua kijana fulani amefungua ofisi Dubai kwenye kasri mojawapo na kua hata DP WORLD ni moja wapo ya mradi wake/wao na waarabu!!.

Kuhoji haya ni kwa nia njema,kama kijana ana kampuni zake za biashara iwekwe wazi Ila pia na wahusika wapime kama yanayofanywa yanatoa taswira hasi ama kua familia imekaa kibiashara tu?

View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Ukishakuwa mtoto wa Rais wa Tanzania haki za uraia wa Tanzania unakuwa huna?

Wapi Katiba ya Tanzania inamkataza mtoto wa Rais kukutana na mtu yeyote na kuongea nae chochote kile?
 
Inaelekea ameenda kupiga deal zake za kampuni binafsi kuwekeza kwenye solar energy Uganda.

🤫 Sitoshangaa kusikia kwa upande wa Tanzania hii miradi TANESCO inayoingia ya kununua umeme wa renewables kuna kampuni moja, yeye na mama yake ni wabia (kama sio wamiliki 100%).
Hakika,kama anaweza kwenda Uganda kuongea na Museven kuhusu biashara, Tanzannia kwa mama yake ashindwe/akose nini?!!
 
Kama mnavyojua ukiona inzi ujue pembeni kuna Mzoga. Za ndani wadai ni ishu ya Bomba la Mafuta kuna Maokoto yanaokotezwa.
20230816_151219.jpg
20230816_151224.jpg
 
Back
Top Bottom