Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Tanzania ina wajinga wengi mmojawapo ni wewe..
Huoni conflict of interest kwenye nishati hapo?
Huoni kuna uwezekano bwawa la nyerere na vyanzo vingine vya umeme kuhujumiwa ili prince Dully auze umeme wake?
Tz ina wajinga wengi sana
Unaongea kama unajuwa kilichowapeleka Uganda na Kilichoongelewa huko.

Hizo ni chuki binafsi.
 
Ukishakuwa mtoto wa Rais wa Tanzania haki za uraia wa Tanzania unakuwa huna?

Wapi Katiba ya Tanzania inamkataza mtoto wa Rais kukutana na mtu yeyote na kuongea nae chochote kile?
 
Hakika,kama anaweza kwenda Uganda kuongea na Museven kuhusu biashara, Tanzannia kwa mama yake ashindwe/akose nini?!!
 
Kama mnavyojua ukiona inzi ujue pembeni kuna Mzoga. Za ndani wadai ni ishu ya Bomba la Mafuta kuna Maokoto yanaokotezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…