Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

amevunja ibara ipi ya katiba yetu? hii nayo ni post? Ulitaka asiajiriwe? Hivi watu mnawaza kwa kutumia viuongo gani? Hujui mtoto wa Museveni ni mkuu wa majeshi kule Uganda? Na je Rwanda unafahamu watoto wa Kagame wako ktk nafasi zipi. Mtoto wa rais ni dhambi kufanya kazi? Sijawahi ona mtu mpumbavu km wewe.
 
Museven amesema amekutana na Mr Abdul Halim Afidh na watu wake ,, sijaona popote imetajwa serikali ya Tanzania.

Huyo mtoto wa rais haruhusiwi kuwekeza Uganda au haruhusiwi kuwekeza Tanzania?

Yeye Hafidh amepata connection ya kukutana na Museven sababu Hafidh ni mtoto wa rais hata wewe kama Una hela za kutosha basi familia yako kukutana na Mo , Rostam haiwez kuwa na ugum.

Ndivyo ilivyo mkuu na ndio maana unaona mtoto wa Abood alimuoa mtoto wa Lukuvi ,,
Inawezekana Rais Samia alimuombea Hafidh hilo shavu la kiuwekezaji.

Hiyo ipo Duniani kote.
 
Ile ofisi sio private kwa Samia na familia yake, ukiwa mjinga usipende kuandika hovyo, kaa kimya ufiche upuuzi wako.
 
Duh!
Yaani povu kama lote...
Utateseka sana wewe mana bado yupo huyo Mama.
Nakushauri anzisha mikakati ya chini kwa chini ya kumng'oa huyo Mama kuliko kutoa povu humu. Fanya hivyo ni ushauri tu huenda ukapumua
 
Wivu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…