Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Nawe unae'dis umetoka hukohuko insta
 
Maswali gani hayo mkuu? Tafuta pesa acha kutafuta mambo ya wengine ilhali ya kwako hujayafanikisha.
Mkuu,my rule number one;Hakuna swali la kijinga duniani.Unapaswa utulie ujifunze.Watu wana aina nyingi za kufikisha ujumbe.Kazi yako wewe ni aidha kujibu au kuendeleza uchokozi hadi upate jibu.Think twice.Kuna watu wameumbwa ni watunduwatundu tu kwenye kuwasilisha mambo.Ni mbinu tu.
 
Mtoto wa mkuu wa nchi naye pia ni mkuu,hujui kuwa anaweza akapewa uwaziri muda wowote?
Kwa kigezo gani mkuu? Labda inawezekana kwa zile nchi zingine ila sio kwa Tz.
 
Za chini ya kapeti zinasema mama anamwandaa kurithi mikoba.lakini ninaimani wa Tanganyika hatutakubali huo uhuni.labda amrithishe kusafiri angani Kila siku.
Hahaaaaa naye mama anaona kayapatia so anataka amuandae mwanae atutawale watanganyika? Dogo naye atakuwa kinda kama mama yake na atasubiria dereva wa gari atangulie mbele za haki ili achukue kiti kama mama yake aliyekuwa kinda wa basi ila tokana na kifo cha dereva ikabidi yeye ashike sterling kuendesha basi.
 
Ushasema mtoto wa rais, umesahau ule msemo “Mtoto wa nyoka ni nyoka”
Hakuna anayezaliwa kuwa Rais. Nyoka anazaliwa kama nyoka (Biological) Mtu kuja kuwa Rais anapitia mapito na mchakato wake ni mrefu. Urais sio sawa Uchief au Ufalme.
 
Hakuna anayezaliwa kuwa Rais. Nyoka anazaliwa kama nyoka (Biological) Mtu kuja kuwa Rais anapitia mapito na mchakato wake ni mrefu. Urais sio sawa Uchief au Ufalme.
Yy ndo kashazaliwa na rais sasa. Na akimaliza mama yake wananchi tunataka aingie yy. Hapo vipi? 😜
 
Ni kweli ila mbinu nyingine zinachukuliwa kama ni kumtafuta mtu kwa nia ovu(negatively) kwa mfano kama ana secret public scandal ili kumchafua kwa kuiweka hadharani.
 
Ni kweli ila mbinu nyingine zinachukuliwa kama ni kumtafuta mtu kwa nia ovu(negatively) kwa mfano kama ana secret public scandal ili kumchafua kwa kuiweka hadharani.
Kwa hiyo kama ana mabaya yafichwe?Kwani uzi una ubaya gani?Kwani haujafurahi kumuona?Au ulishawahi kumuona na kumfahamu kabla ya leo?
 
Kalia chupa isiyo na mfuniko ndiyo tujue unachukia watu wanaoposti JF baada ya kushiba chai ya bi mkubwa.
Yani machoko hua hamjifichi kabisa aisee,ndio hua unakalia chupa kumbe! Tangazo lako limeeleweka japo umeliweka indirect,wanakuja pm kukuweka oda ili wakupelekee moto.
 
Kawaida Sana hiyo, unaweza usiwaamini wote lakini mtoto wako, lazima utamuqmini kwenye maslahi mapana ya nchi,
Hata Trump, alimtumia Sana Trump junior kwenye haya Mambo, hata, Biden, mtoto wake Hunter Biden, ndie anakuwa mbele kwenye maslahi ya baba na nchi yanapokutana
 
Kwa hiyo kama ana mabaya yafichwe?Kwani uzi una ubaya gani?Kwani haujafurahi kumuona?Au ulishawahi kumuona na kumfahamu kabla ya leo?
Quote: "Kwa hiyo kama ana mabaya yafichwe?"
1. Je, inapendeza kuyaanika mabaya ya mtu hadharani? Unaonaje na yale ya kwako yakaanikwa hapa ukizingatia kwamba hakuna aliye mkamilifu -kila mtu ana mapungufu yake.
2. Uzi hauna ubaya wowote isipokuwa watumiaji ndo tunatofautiana mitazamo.
3. Kumwona au kutokumwona hakunisaidii chochote na wala sitapoteza muda wangu eti kutaka kumfahamu kwani sina maslahi yoyote na mtu huyo.
 
Kwa akili hizi kama hii yako, Tanzania ina safari ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…