Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Vema.Si kila kitu kukichukulia negative tu.Tanguliza positivities mara nyingi zaodi.
 
Wewe umefuata nini kwenye hii thread, kuna pesa?
Mkuu, Ni kweli kwenye hii thread hakuna pesa lakini wapo wengi waliopata ramani (Michongo/Connections)za kupata pesa kwa kupitia humu humu jamvini. Wewe huzisomagi zile post za wanaoshukuru kwa kupata misaada ya hali na mali kutoka kwa wanajamvi? Yan hukusoma hata ile ya binti mTz wa Uturuki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…