Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?


Mtu asie na hoja hukimbilia matusi!!

Mifano yako ya watoto wa Kagame na Mseveni ni thibitisho la upumbavu wako. Hao watoto wameajiriwa rasmi na hakuna vificho. Huyo unaemtetea tueleze ameajiriwa wizara gani?!! Ameenda kukubaliana mamboya umeme,kwa cheo gani na kutoka wizara ipi?!! Soma press release ya Museven labda utaelewa na kuacha matusi!
 
Sasa katiba ipi ivunjwe? Kwani hana haki ya kwenda Uganda? Kwani uliambiwa kaiwakilisha serikali kwenye jambo lipi?

Kama kachukuliwa kwa mkataba fulani?


Huu mwengine ni ujinga hata kuujadili.


Wewe kama huna, huna tu.
 
Ondoa blaa balaa zako hapa wewe na chuki zako za kijinga. Hata akifanya Biashara anayo haki hiyo ilimradi havunji sheria, kanuni na katiba ya nchi.
 
Hata huyo ameajiriwa,

Labda uulize vigezo au qualifications!!
 
Huyo ndo ridhimoko wa awamu ya 6. Hata mkataba wa bandari yeye ndo alitumwa dukani kununua peni.
 
Anapiga deal za, familia,
Kama Hunter Biden, alivyokuwa anapiga deals Baba kule Ukraine!
Huyu mama, ni, mwizi, kama mzee wa msoga
Kapimwe akili yako wewe na uwe na heshima kwa mh Rais wetu. Hayo uliyoongea hapa ni uongo mtupu unaopaswa kupuuzwa na kila mtanzania ,kwa kuwa umejiandikia tu pasipo ushahidi wa aina yoyote ile.
 
Yale yale ya Gaddaf na mwanae Seif al Islam kumuwakilisha kubeba ujumbe mhimu wa Nchi kimataifa...!
Mama anacopy tawala za kifalme na ustaarab wa nchi zinazoongwa kwa itikadi na imani za kiislam kama ilivyo arabuni.
 
Shida ya watanzania tulishagawika. Hata baya litokee bado watu wataliunga mkono kisa upande wake. Ndio maana Leo bandari inabinafsishwa huku wananchi wakilimwa tozo, na hakuna umoja maana wananchi wamegawanyika.
 
Ata ningekuwa Mimi,ningempa mwanangu,as long as anaqualify kufanya hiyo kazi
 
M7 naye hana siri mtu mzima hovyo,😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…