Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Shida ya watanzania tulishagawika. Hata baya litokee bado watu wataliunga mkono kisa upande wake. Ndio maana Leo bandari inabinafsishwa huku wananchi wakilimwa tozo, na hakuna umoja maana wananchi wamegawanyika.
Mahakama imeshaamua na kutoa uamuzi,kwa hiyo kama hujalizika nenda kakate rufaa na siyo kuja kupiga makelele yako humu jukwaani. Hapa siyo mahakamani
 


Mambo ya hovyo sana, future cooperation ya nchi 2 maswala ya energy inaongozwa na mtoto wa rais ambaye hatujui ana cheo gani.
 
Chawa wa familia Faizafoxy anakuja kulitolea ufafanuzi!!
 
Sasa katiba ipi ivunjwe? Kwani hana haki ya kwenda Uganda? Kwani uliambiwa kaiwakilisha serikali kwenye jambo lipi?

Kama kachukuliwa kwa mkataba fulani?


Huu mwengine ni ujinga hata kuujadili.


Wewe kama huna, huna tu.

Yanayofanywa na Samia, Magufuli hakuthubutu kuyafanya pamoja na ubaya wake wote!!

Onyesha wapi Magufuli watoto wake walifanya kama haya ya Samia?!? Onyesha wapi watoto wa Nyerere walifanya kama haya ya Samia japo Nyerere alikaa madarakani miaka 20 na alikua na watoto kedekede?!!

Mambo ya hovyo yanapaswa kukemewa,hatotetewa mtu kwa dini yake,hatokolewa mtu kwa dini yake,anatakiwa kukemea Mambo ya personal conflict.

Tanzania ina makubaliano ya kizalisha umeme na Uganda,Leo hii mtoto wa rais mseme nae ana kampuni yake binafsi ndio anafanya na yeye kazi na serikali ya Uganda. Huyo mtoto kama asingekua mtoto wa Samia angepewa hiyo hadhi ya delegation na Uganda?!!

Ni ujinga kutetea jambo la hovyo na la kipuuzi na fedheha kwa Taifa!!
 
Nchi inaendeshwa kama gari lililokatika senta bolti
 
Kuna jambo hulijui Bado!!
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] kijana nimfanyabiashara[emoji15][emoji15][emoji15]🦧
 
Hii post haina maana yoyote kwani hata wewe unaweza kuwa mjumbe wa kuiwakilisha tanzania. Ni sawa na mtu aliechaguliwa kwenda kutoa posa. Hakuna shida yoyote kwenye hili. Hata wewe ukitaka jambo lako lisikilizwe unamchagua atakaeweza kusikilizwa na upande unaoenda kufanya nao mazungumzo
Tusipende kulalamika kwa kila kitu
 
Kwani akiwa mtoto wa Rais au asingekuwa mtoto wa Rais na akawa na sifa kama walizonazo watanzania wengine kwa akili yako unafikiri asingepata au kuwa sehemu ya majadiliano au kuongoza msafara au ujumbe? Unafahamu watoto wa Trumph rais mstaafu wa Marekani pamoja na mkwe wake walikuwa na nafasi gani serikalini? Je uliona akipingwa na wamarekani kuwa amevunja katiba kuteua mtoto wake wa kumzaa? Kwani kuwa mtoto wa Rais ni vipi inamnyima haki ya kuwa serikalini? Au kufanya kazi hata ikulu?
 
Sasa kama waatoto wa Magufuli ni mapoyoyo kama wewe ndiy wote wawe mapoyoyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…