Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Hiyo mijitu mijinga.
 
Kwamba siku Ukiwa umechoka, unaweza mtuma mkeo akuwakilishe kazini ofisi ya umma?
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] kijana nimfanyabiashara[emoji15][emoji15][emoji15]🦧View attachment 2715365

Kwa hiyo ikifika usiku wanakaa mezani na Mama kujadili faida na hasara na mipango ijayo ya biashara?!!
 
Halafu li Wambura linasema eti wanaoandamana wanataka kupindia serikali. Huyu mama anauza tanganyika yetu
Ameuza wapi ,kwa nani ,kwa shilingi ngapi,kwa mkataba upi,wewe umeuzwa kwa shilingi ngapi,malipo yamefanyika kupitia benki gani ,akaunti namba gani, malipo yalifanyika tarehe gani,wapokeaji ni akina nani na mazungumzo ya mazishi yalifanyikia wapi. Kama huna majibu ya hayo basi ni bora ukafunga mdomo wako hapa.
 
Wenzio wanampinga hadharani ila wewe cha uwoga kazi kutukana kwenye keyboard. Toka nje kama kina Mwabukusi na shoga mdude uone kama utaweza kutukana.
 
Tanzania ukishakua rais familia nzima ni marais , mpaka mjukuu , tuna nchi ya ajabu
Mtanikumbuka 😄😄🔥
 
na bado ccm ni mbele kwa mbele
 
Kwani ajira ngapi na watanzania wangapi waliopo katika ofisi za umma unaowafahamu kwa majina na tarehe zao za kuajiriwa ? Kwani kila ajira lazima itangazwe? Kwani wapi katiba ilipovunjwa au kwenda kinyume?
 
Trump aliwaajiri rasmi kama wasaidizi binafsi!!

Ikulu haitakiwi kunyoshewa vidole kwa vitendo hasi!!

Tuna rais ambae mtoto wake wa kike ni mbunge,mkwe wa raisi ni waziri,etc etc!
 
Chifu Hangaya anataka kuigeuza nchi hii kuwa ya kifalme. Nawashangaa sana hawa watawala na machawa wao wasiotumia akili katika kuongoza nchi.
 
Trump aliwaajiri rasmi kama wasaidizi binafsi!!

Ikulu haitakiwi kunyoshewa vidole kwa vitendo hasi!!

Tuna rais ambae mtoto wake wa kike ni mbunge,mkwe wa raisi ni waziri,etc etc!
hao ambao ni wabunge na mawaziri ni wapi ambapo unaweza ukasema hawana sifa? Sifa ya mbunge ni ipi? Unafahamu au kufahamu sifa ya kuwa mbunge ni kujuwa kusoma na kuandika,kuwa raia wa Tanzania na mwenye umri wa kuanzia miaka 21, pamoja na kuwa na chama na kutotiwa hatiani kwa makosa ya ukwepaji kodi. Je sifa hizo hawana? Je wao kuwa mtoto au watoto au mkwe wa Rais imeandikwa wapi katika katiba yetu kuwa mtu haruhusiwi kuwa kiongozi au kuomba uongozi? Acha chuki zako binafsi zisizo na mashiko hapa. Kwani uhuru Kenyatta au George Bush hawakuwa watoto wa marais? Baba zao hawakuwa serikalini? Je iliwanyima fursa ya wao kutimiza ndoto zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…