Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Wewe kila mtu anakuhurumia humu umevuka mipaka ya kujipendekeza sio chawa tena ni mtu unaedhalilisha utu wako.

Unafahamu mtaji wa kuwekeza kwenye solar energy, unaweza kutuambia huo mtaji katoa wapi au bank gani ina finance huo mradi.

Kwa kile kibanda alichokulia ‘Bi Tozo’ Kizimkazi huo utajiri wa familia hawana na wala historia ya biashara.

Ni hela za walipa kodi walizochota, mtu yupo serikalini zaidi ya miaka 30 aoni ata wenzake wanavyotumia wafanyabiashara kama bosheni kuwekeza hela wanazoiba yeye anampeleka mtoto wake mbele.
Nani kakwambia kuwa mimi najipendekeza humu,kwa ushahidi upi,kwa hoja zipi. Unasema uongo sijui wa kuibwa hela ,unaweza kuweka huo ushahidi? Unaweza kuweka nyaraka kuthibitisha madai yako au mradi tu umejikurupukia huko na kuja hapa kuropoka uongo wako hapa?
 
Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.

Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.

Swali- mtoto huyu wa rais wetu,ana cheo gani serikalini?!!

Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni,tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?!!

Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!

Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?!!

View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Mzee wetu BUTIKU yeye alikuwa msaidizi wa Rais kabisa, anyway huenda nyinyi mwajua zaidi
 
Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.

Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.

Swali- mtoto huyu wa rais wetu,ana cheo gani serikalini?!!

Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni,tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?!!

Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!

Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?!!

View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Nilidhai atakuwa amevnja sheria, kumbe ni katiba?
 
Museven anasema ameenda kama mwakilishi kiongozi wa ujumbe wa Serikali kuzungumzia masuala ya nishati ambayo yanafall wizara ya nishati. Kama yeye siyo kiongozi wa hiyo Wizara waseme kaenda kama nani huko serikalini
Wapi kasema ameeenda kama mwakilishi wa Serikali?
 
Yanayofanywa na Samia, Magufuli hakuthubutu kuyafanya pamoja na ubaya wake wote!!

Onyesha wapi Magufuli watoto wake walifanya kama haya ya Samia?!? Onyesha wapi watoto wa Nyerere walifanya kama haya ya Samia japo Nyerere alikaa madarakani miaka 20 na alikua na watoto kedekede?!!

Mambo ya hovyo yanapaswa kukemewa,hatotetewa mtu kwa dini yake,hatokolewa mtu kwa dini yake,anatakiwa kukemea Mambo ya personal conflict.

Tanzania ina makubaliano ya kizalisha umeme na Uganda,Leo hii mtoto wa rais mseme nae ana kampuni yake binafsi ndio anafanya na yeye kazi na serikali ya Uganda. Huyo mtoto kama asingekua mtoto wa Samia angepewa hiyo hadhi ya delegation na Uganda?!!

Ni ujinga kutetea jambo la hovyo na la kipuuzi na fedheha kwa Taifa!!
Kwani Mtoto wa Samia kafanya jambo gani baya? Kama ni mfanyabiashara haruhusiwi kuwekeza Uganda kwa kuwa ni mtoto wa Samia? Akili za wapi hizo?
 
Utaelewa tu!!! Tulia sindano iwaingie. Yule mama mshipa wa aibu ulishakatika.
Kwani Magufuli alikuwa na mshipa wa aibu??Kwanza afadhali Samia ana staha na haropoki ovyo kama mwendazake msimuonee Samia kwa sababu mwanamke anaendesha nchi kwa katiba iliyopo kama Nyerere mpiga kelele na kujisikiliza mwenyewe na kujichekesha mwenyewe aliona katiba mbovu kwa nini hakuirekebisha ni kwa sababu ilimnufaisha yeye na itaendelea kunufaisha wote mpaka ujinga wa Watanzania uondoke waamue kujikomboa kutoka kwa mkoloni mweusi mswahili sio kujifariji hapa. Kama mnaona hamna uhuru wa kuamua mambo yenu kama nchi mnasubiri nini??Change your situation by any means necessary
 
Back
Top Bottom