Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kaenda kuzungumza project gani ya nchi?Hii ni aibu sana kwa taifa! Kijana kwenda kuzungumzia projects za nchi za nishati wakati yeye sio waziri wa nishati Wala makamu wa Rais kiukweli haiko poa, kama angekuwa tu kaenda kumpa hi Mu7 kishkaji hakuna kosa!
Nani atabisha kuwa viatu vya Magu ni oversize!
Hizi ndio effects za zali la mentali na si matokeo ya sanduku la kura! Africa Bado haijawa tayari kwa Rais mwanamke kwa mtazamo wangu!
Mi naamini Bimkubwa hakujiandaa kuongoza wadanganyika ilitokea tu kwahiyo kaona liwalo na liwe! Yuko juu ya Sheria!mtamfanya Nini! Dogo Kawa waziri wa nishati!! Wapi Maropu!!
Haya Sasa na wakike nao kama anao waanze safari za kuwakilisha nchi!
Hivi bongo hatuna Balozi pale Uganda?
Kampuni yake inataka kuzalisha umeme wa Jua megawati 20 hapo Uganda. Je iyo ni project ya nchi?
Wewe ukienda kuongea na Museven kuzalisha umeme Uganda hiyo ni project ya nchi?


