Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Tushakuja! Ahahahahaha! Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema, Rais anaweza kumteua mtu yoyote kufanya kazi kwa nafasi yoyote itakayoamriwa na Rais katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sasa hapo tatizo nini?
Huko mbali sana. Huyo Hafidh hajaenda kwa mambo ya nchi. Kampuni yake binafsi inataka kuzalisha umeme wa jua huko Uganda.

Kosa liko wapi hapo? Kwa hiyo ukiwa Rais mtoto wako akiwa mfanyabiashara haruhusiwi kuendelea kufanya biashara zake? Hilo limeandikwa wapi?
 
During the meeting, the President and the visiting delegation discussed future cooperation in the area of Energy between Uganda and Tanzania.

The energy engagement mainly centered around the power line from Mutukula to Mwanza which they both expressed optimism that it will boost the development of the two countries.
Lord denning, pia hapo ikulu ya Entebbe rais Museveni na ujumbe kutoka Tanzania kulizungumziwa ujenzi njia ya umeme mkubwa wa kutoka Uganda Mutukula hadi mjini Mwanza Tanzania. Umeme wa uhakika kwa kanda ya Ziwa Magharibi ya Tanzania ulisisitizwa.
 
Lord Denning, pia hapo njia ya umeme mkubwa wa kutoka Mutukula hadi mjini Mwanza Tanzania
Huyo dogo dhumuni la kwenda hapo ni kuwasilisha mradi wake wa kuzalisha umeme wa Jua megawati 20 ambao Rais Museveni ameupitisha. Hilo la kuwepo njia ya umeme kuja Mwanza sio mradi wake na taarifa imesema hivyo. Wamezungumza haja ya kuwepo kwa hiyo njia sio kwamba ndo mradi uliompeleka Uganda
 
Huyo dogo dhumuni la kwenda hapo ni kuwasilisha mradi wake wa kuzalisha umeme wa Jua megawati 20 ambao Rais Museveni ameupitisha. Hilo la kuwepo njia ya umeme kuja Mwanza sio mradi wake na taarifa imesema hivyo. Wamezungumza haja ya kuwepo kwa hiyo njia sio kwamba ndo mradi uliompeleka Uganda

During the meeting, the President and the visiting delegation discussed future cooperation in the area of Energy between Uganda and Tanzania.

The energy engagement mainly centered around the power line from Mutukula to Mwanza which they both expressed optimism that it will boost the development of the two countries.
 
During the meeting, the President and the visiting delegation discussed future cooperation in the area of Energy between Uganda and Tanzania.

The energy engagement mainly centered around the power line from Mutukula to Mwanza which they both expressed optimism that it will boost the development of the two countries.
"Future engagement "

Ukielewa hapo haitakusumbua.

Uwezekano wa kuwepo icho kitu huko mbeleni ndo maana halisi ya kiswahili chepesi.

Sasa hapo shida ipo wapi?
 
11 August 2023

President Museveni meets delegates from Tanzania, discuss cooperation in energy sector

During the meeting, the President and the visiting delegation discussed future cooperation in the area of Energy between Uganda and Tanzania.

The energy engagement mainly centered around the power line from Mutukula to Mwanza which they both expressed optimism that it will boost the development of the two countries.

15 May 2022
Kampala, Uganda

During her two-day state visit to Kampala last week, Tanzanian President Samia Suluhu and her Ugandan counterpart Yoweri Museveni witnessed the signing of an inter-governmental memorandum of understanding for the development of the 400kV transmission line linking the two countries.

Uganda’s Minister for International Affairs Henry Okello Oryem and Tanzania’s Minister of Foreign Affairs and East African Co-operation Liberata Mulamula signed the MoU on behalf of their respective countries

Uganda’s Minister for International Affairs Henry Okello Oryem and Tanzania’s Minister of Foreign Affairs and East African Co-operation Liberata Mulamula signed the MoU on behalf of their respective countries.

Officials of the Uganda Electricity Transmission Company Ltd (UETCL) said it is too early to talk about the start, cost and completion details.

“The MoU has just been signed meaning there is nothing really done yet [before] there is sourcing for funding, feasibility studies and all,” said Pamela Nalwanga Byoruganda, the UETCL spokesperson.

With additional generation from Karuma and other smaller hydropower plants, Uganda’s total installed capacity will increase to nearly 2000MW, up from the current 1,346.6MW, against the country’s peak demand for electricity, of 794MW, the Electricity Regulatory Authority said.

High demand
Tanzania’s electricity demand is growing at an annual rate of 13.82 percent, and will outstrip the country’s installed capacity,

According to the Global Transmission Report, Tanzania’s power needs are expected to rise from 10,176GWh in 2022 to 28,663GWh in 2030, which requires approximately 9,000MW of new generation added to the grid in the next eight years.

According to UETCL, Uganda exports electricity to Kenya, Tanzania, the Democratic Republic of Congo and South Sudan.

In the period between June 2020 and June 2021, Uganda exported a total of 294.1MW, which earned the country $26.84 million, up from $24.5 million earned from 246.3MW exported the previous year, a Bank of Uganda report for the sector shows.

The central bank said that export receipts have showed growth in recent years, with Kenya being the biggest exporter.
 
Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.

Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.

Swali- mtoto huyu wa rais wetu,ana cheo gani serikalini?!!

Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni,tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?!!

Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!

Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?!!

View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Ni NAIBU RAIS, huyo ndio amebeba MIKOBA ya Bashite enzi za utawala wa KIHALIFU wa JPM
 
According to UETCL, Uganda exports electricity to Kenya, Tanzania, the Democratic Republic of Congo and South Sudan.

25 May 2023

Museveni, President Hassan Commission Trans-Border Power Plant

President Museveni was joined by Tanzania's leader Samia Suluhu Hassan to commission the Kikagate - Mulongo hydro-power plant, located along River Kagera in south western Uganda. The 14 megawatt trans-border hydroelectric power project was developed under a bilateral agreement between Tanzania and Uganda signed in July 2015 and revised in April 2017.
 
Niambie wewe mwenye “higher learning” tafsiri ya “delegation”?
Delegation in swahili simply means ujumbe

Kwa hiyo Rais Museven hapo kamaanisja nimekutana na ujumbe kutoka Tanzania.

Sasa niambie, Nani kakwambia ujumbe inamaanisha muwakilishi wa Serikali?

Shule gani ulifundishwa hayo?
 
Back
Top Bottom