Wanabodi,
Tukisema kwamba huyu anakula posho za bure na mishahara ambayo hajaifanyia kazi tutakuwa tumemuonea?
Kuna huyu Mbunge wa Viti Maalum anaitwa Wanu Afidh AMeir who also appears to be the daughter wa Rais Samia.
Tangu ameingia bungeni mwaka 2020 hajatoa mchango hata mmoja. An mchango mmoja tu ambao aliutoa mwaka 2018 huko.
Maana yake huyu , according to tovuti ya bunge , ana miaka takriban 6 HAJACHANGIA CHOCHOTE BUNGENI. Ila kila mwezi bila shaka anapokea mshahara wa serikali.
Naomba kuuliza, mtu kama huyu kwanini bado yuko bungeni? Anafanya nini?