Pre GE2025 Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?

Pre GE2025 Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Michango ipo ya aina nyingi, kijamii, kiuchumi, nk

Pia yawezekana yupo katika kamati za bunge anaweza kutoa mchango huko

Pia kwa kuhudhuria mikutano ya bunge ili kuweka akidi Sawa ni moja ya mchango wake bungeni nk

Kwamba hawezi kutoa mchango bungeni kwa sababu anatoa michango kwenye kamati za bunge?

Kwa hiyo hao ambao wanatoaga michango yao kwenye vikao vya bunge wao ni wajinga? Kuna umuhimu gani sasa wa kuwa na vikao vya bunge?
 
ACHA wivuuu Nan kamwambia ukienda kule lazima ukapige kelele sio WOTE wanaongea vya maana Bora huyu anakata kimya Jimbo lake Lina MAENDELEO
Unalingine

Acheni wivuu

Hebu taja hayo maendeleo aliyoyapeleka huko jimboni kwake kwa sababu aliamua kukaa kimya bungeni kwa miaka 5
 
Wazazi wenu walikuwa wavivu wa kutafuta maisha wameishia kuzaa matoto mavivu na yenye roho mbaya!

Mteteee anayekulipa mkuu.

Haya matusi hayasaidii chochote.

Tuambie kwanini, mbunge wa chama chenu kwa miaka 5 hana mchango wowote kwenye vikao vya bunge?

Kwanini toka mwaka 2018 Wanu hajachangia chochote bungeni?

Mtetee bosi wako
 
Mtoa mada issue sio kuchangia Bali unachangia Nini na huo mchango wako unachukuliwaje? Na Kwa jinsi bunge lilivyo hata ukitoka mchango wenye manufaa Kwa taifa unadharauliwa sasa ya Nini kujihangaisha?

Kwa hiyo solution ya mbunge kutochukuliwa serious bungeni kwa michango anayotoa ni kukaa kimya kwa miaka 5?
 
Ili hoja inoge ilitakiwa useme kuwa alipoingia bungeni kwa mara ya kwanza ,mzazi wake hakuwa ni Rais wa JMT.....

Nadhani "fairness" ingetakiwa useme kuwa yeye ni mwenyekiti wa "Mwanamke Initiatives Foundation"....na utuambie kuwa taasisi hiyo haina mchango wowote.....je pale bungeni hakujawahi kualikwa watendaji na wanufaika wa hiyo "MIF" kule "gallery"....

Umetoka nje ya mada.

Sisi tunaongelea mchango wake kwenye VIKAO VYA BUNGE.

Hayo mambo ya mwanamke foundation hatuyajui. Huyu ni mbunge kwanini ndani ya miaka 5 hajachangia chochote?

Alikuwa anafanya nini?
 
Sasa huyu ndo maana halisi ya wafanyakazi hewa, sio lazima uwe mfu hata kama upo lakini kama haupo ni sawa na mfu tuu.
 
Wanabodi,

Tukisema kwamba huyu anakula posho za bure na mishahara ambayo hajaifanyia kazi tutakuwa tumemuonea?

Kuna huyu Mbunge wa Viti Maalum anaitwa Wanu Afidh AMeir who also appears to be the daughter wa Rais Samia.

Tangu ameingia bungeni mwaka 2020 hajatoa mchango hata mmoja. An mchango mmoja tu ambao aliutoa mwaka 2018 huko.

Maana yake huyu , according to tovuti ya bunge , ana miaka takriban 6 HAJACHANGIA CHOCHOTE BUNGENI. Ila kila mwezi bila shaka anapokea mshahara wa serikali.

Naomba kuuliza, mtu kama huyu kwanini bado yuko bungeni? Anafanya nini?


View attachment 3257491
Eti Hon. Wanu Ameir Hafidh. Pumbafu zake. Mijitu kama hii ndio inaweza kuuza hata nchi. Anakula tu hela za umma bila uchungu. Anaona kwa kua mama yake ni rais ni hake yake apate tu hela za bure.
 
Mteteee anayekulipa mkuu.

Haya matusi hayasaidii chochote.

Tuambie kwanini, mbunge wa chama chenu kwa miaka 5 hana mchango wowote kwenye vikao vya bunge?

Kwanini toka mwaka 2018 Wanu hajachangia chochote bungeni?

Mtetee bosi wako
Kwani Sheria inasema anatakiwa kuchangia mara ngapi ili aonekane ni Mbunge halali? Nisaidie hilo.
 
Back
Top Bottom