- Thread starter
- #81
Michango ipo ya aina nyingi, kijamii, kiuchumi, nk
Pia yawezekana yupo katika kamati za bunge anaweza kutoa mchango huko
Pia kwa kuhudhuria mikutano ya bunge ili kuweka akidi Sawa ni moja ya mchango wake bungeni nk
Kwamba hawezi kutoa mchango bungeni kwa sababu anatoa michango kwenye kamati za bunge?
Kwa hiyo hao ambao wanatoaga michango yao kwenye vikao vya bunge wao ni wajinga? Kuna umuhimu gani sasa wa kuwa na vikao vya bunge?