Pre GE2025 Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtoa mada issue sio kuchangia Bali unachangia Nini na huo mchango wako unachukuliwaje? Na Kwa jinsi bunge lilivyo hata ukitoka mchango wenye manufaa Kwa taifa unadharauliwa sasa ya Nini kujihangaisha?
 
Ili hoja inoge ilitakiwa useme kuwa alipoingia bungeni kwa mara ya kwanza ,mzazi wake hakuwa ni Rais wa JMT.....

Nadhani "fairness" ingetakiwa useme kuwa yeye ni mwenyekiti wa "Mwanamke Initiatives Foundation"....na utuambie kuwa taasisi hiyo haina mchango wowote.....je pale bungeni hakujawahi kualikwa watendaji na wanufaika wa hiyo "MIF" kule "gallery"....
 
Kama kawa, naona kama Samia, The Mother of Modern Tanzania, anawakimbiza tena nyumbu......hawatuliii, Kila sekunde jina la Samia limejaa vinywani mwao.
 
Wanabodi,

Tukisema kwamba huyu anakula posho za bure na mishahara ambayo hajaifanyia kazi tutakuwa tumemuonea?

Kuna huyu Mbunge wa Viti Maalum anaitwa Wanu Afidh AMeir who also appears to be the daughter wa Rais Samia.

Tangu ameingia bungeni mwaka 2020 hajatoa mchango hata mmoja. An mchango mmoja tu ambao aliutoa mwaka 2018 huko.

Maana yake huyu , according to tovuti ya bunge , ana miaka takriban 6 HAJACHANGIA CHOCHOTE BUNGENI. Ila kila mwezi bila shaka anapokea mshahara wa serikali.

Naomba kuuliza, mtu kama huyu kwanini bado yuko bungeni? Anafanya nini?

View attachment 3257491
Huyo ni mtendaji zaidi mkuu
 
Ili hoja inoge ilitakiwa useme kuwa alipoingia bungeni kwa mara ya kwanza ,mzazi wake hakuwa ni Rais wa JMT.....

Nadhani "fairness" ingetakiwa useme kuwa yeye ni mwenyekiti wa "Mwanamke Initiatives Foundation"....na utuambie kuwa taasisi hiyo haina mchango wowote.....je pale bungeni hakujawahi kualikwa watendaji na wanufaika wa hiyo "MIF" kule "gallery"....
Hawezi kusema hilo na hata nyumbu wenzie hawawezi kumwambia aseme sababu nyumbu mara zote wapo kwa ajili ya vitu vidogo ba ukudaukuda.
 
Wanabodi,

Tukisema kwamba huyu anakula posho za bure na mishahara ambayo hajaifanyia kazi tutakuwa tumemuonea?

Kuna huyu Mbunge wa Viti Maalum anaitwa Wanu Afidh AMeir who also appears to be the daughter wa Rais Samia.

Tangu ameingia bungeni mwaka 2020 hajatoa mchango hata mmoja. An mchango mmoja tu ambao aliutoa mwaka 2018 huko.

Maana yake huyu , according to tovuti ya bunge , ana miaka takriban 6 HAJACHANGIA CHOCHOTE BUNGENI. Ila kila mwezi bila shaka anapokea mshahara wa serikali.

Naomba kuuliza, mtu kama huyu kwanini bado yuko bungeni? Anafanya nini?

View attachment 3257491
Punguza wivu ndugu. Hatuwezi wote kuwa watoto wa Rais au wote kuwa wabunge. Kimsingi hatuwezi kuwa sawa.
 
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"

Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
Fuatilia kilichowakuta vijana jeuri enzi za mwalimu. Hayo ni maneno tu ila practically enzi za mwalimu hakuna aliyethubutu kuleta ujeuri. Ndo enzi za "zidumu fikra za mwenyekiti"
 
Wanabodi,

Tukisema kwamba huyu anakula posho za bure na mishahara ambayo hajaifanyia kazi tutakuwa tumemuonea?

Kuna huyu Mbunge wa Viti Maalum anaitwa Wanu Afidh AMeir who also appears to be the daughter wa Rais Samia.

Tangu ameingia bungeni mwaka 2020 hajatoa mchango hata mmoja. An mchango mmoja tu ambao aliutoa mwaka 2018 huko.

Maana yake huyu , according to tovuti ya bunge , ana miaka takriban 6 HAJACHANGIA CHOCHOTE BUNGENI. Ila kila mwezi bila shaka anapokea mshahara wa serikali.

Naomba kuuliza, mtu kama huyu kwanini bado yuko bungeni? Anafanya nini?

View attachment 3257491
ccm ni janga la taifa na wahujumu uchumi
 
Wananchi wake wanasemaje, maana yeye atakua anafanya kazi kwa Vimemo tu, atakepinga anaambiwa subiri nikusemee kwa mama au shem Mchere.
 
Michango ipo ya aina nyingi, kijamii, kiuchumi, nk

Pia yawezekana yupo katika kamati za bunge anaweza kutoa mchango huko

Pia kwa kuhudhuria mikutano ya bunge ili kuweka akidi Sawa ni moja ya mchango wake bungeni nk
Kumbe simple hivi, niforce sasa na mimi niingie huko..
 
Ana wasiwasi gani na yeye kapewa tu huo Ubunge.
Kapewa na nani ?!!

Aliingia bungeni kabla ya urais wa mh.Rais Samia....

Mh.mbunge huyo ni msomi wa diplomasia alianzia pale "centre for foreign relations"....kabla ya kuwa mwanasheria na wakili...

Anawajua watu....anaijua mipango ya watu na mambo yao ....

Ni mtu wa vitendo zaidi ya ubwabwaji tu....
 
Wananchi wake wanasemaje, maana yeye atakua anafanya kazi kwa Vimemo tu, atakepinga anaambiwa subiri nikusemee kwa mama au shem Mchere.
....wananchi wake wanaifurahia sana "MWANAMKE INITIATIVE FOUNDATION.....".
 
Kapewa na nani ?!!

Aliingia bungeni kabla ya urais wa mh.Rais Samia....

Mh.mbunge huyo ni msomi wa diplomasia alianzia pale "centre for foreign relations"....kabla ya kuwa mwanasheria na wakili...

Anawajua watu....anaijua mipango ya watu na mambo yao ....

Ni mtu wa vitendo zaidi ya ubwabwaji tu....
Nchi hii mzazi wako akiwa ana madaraka makubwa anaweza kutumia cheo chake kukupigia chapuo na ukapata unachokitaka bila shida yoyote na yeye wakati anaingia kwenye mbio za kuutaka ubunge mama yake tayari alishakuwa makamu wa rais,usifikiri makamu wa rais hawezi kufanikisha jambo lake akitaka.
 
Back
Top Bottom