Pre GE2025 Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haya ni maneno tu kiutendaji haikuwa hivo
 
Duu labda Huwa anautoa Kwa maandishi.

By the way sikumbuki kama Mtoto wa Jakaya Huwa anatoa mchango Hadharani kabla ya kuwa Waziri
 
bunge la Tanzania ni zooo ya kunenepeshea mifugo na mifugo yenyewe ndiyo hao wabunge...haya ndiyo matunda ya marais waislamu wa hii nchi baada ya siku chache utawasikia wana mlaumu Nyerere.
 
Michango ipo ya aina nyingi, kijamii, kiuchumi, nk

Pia yawezekana yupo katika kamati za bunge anaweza kutoa mchango huko

Pia kwa kuhudhuria mikutano ya bunge ili kuweka akidi Sawa ni moja ya mchango wake bungeni nk
Avatar yako inaakisi unachoongea
 
Kama mtu anajijua ni mweupe kichwani na akaamua kukaa kimya ni bora kwake kufanya hivyo.
 
Yeye aliruhusu kuhojiwa?
 
Wivu, majungu, fitina, Hila,uchawa,ukupe, ukipele haijawai kumwacha mtu salama.

Mtoa mada acha wivu, roho mbaya, Hila na kijicho kwa mtoto wa mama Samia.
 
m
mhhhhh ila ni chombo !!
mhhhh ila ni chombo
 
ACHA wivuuu Nan kamwambia ukienda kule lazima ukapige kelele sio WOTE wanaongea vya maana Bora huyu anakata kimya Jimbo lake Lina MAENDELEO
Unalingine

Acheni wivuu
 
Mtavalishwa diraaaaa mbafuuu
 
Wazazi wenu walikuwa wavivu wa kutafuta maisha wameishia kuzaa matoto mavivu na yenye roho mbaya!
 
Hayati waziri Mkuu Edward Ngoyai Lowassa baada ya ile kadhia ya uwaziri mkuu.... aliendelea kuwepo bungeni akiwa na michango mikubwa sana kwa njia nyingi zaidi ya yeye kusimama na kuchangia hoja bungeni.....

Acha kukariri UWAJIBIKAJI wa watu katika majukumu yao...


#JMT milele dumu !
 
Pamoja na ukweli uliouandika, unamisi pointi hii; analipwa mshahara kwa kuwa kwake mbunge, na si kwa michango anayoitoa akiwa bungeni. Naomba kuwasilisha.
 
ACHA wivuuu Nan kamwambia ukienda kule lazima ukapige kelele sio WOTE wanaongea vya maana Bora huyu anakata kimya Jimbo lake Lina MAENDELEO
Unalingine

Acheni wivuu
Hakika mkuu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…