Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Yan Mimi ningekua na page za umbea insta , ningekua na follower mil 10, yan ningekua napiga pesa za matangazo hatar , maana najijua Mimi mbea halafu umbea naupatia mpaka kumoyo mtu una feel , ahahah lol


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hyo nayo Fursa...mkumbuke marehemu kwa kuienzi Slogan yake...Ila kama una muda wa ziada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakosea mkuu kwenye color wengi wanaprefer blak..mweupe akiwa na hela ule udhaifu inafunikwa na pesaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..sasa uwe mweupe manyodo kama yote inajiona umezaliwa uesiei pesa huna..khaa itakupasa ujibebe
Hahahahah...lol kwakweli black is handsome
 
wapi wewe hata hujulikani wa kike au wakiume
 
Haha yani huyu ndo handsome? Basi wanaume wengi kama sio wote ni ma handsome!
Unless kama kuna lingine.View attachment 1038811
Unamaanisha wanaume wote wako kama huyo? It can't be...mkuu tulia sisi wanawake ndio tunajua ubishi wako unanilazisha nikuulize jinsia yako. Hivi wewe hujiulizi wanawake karibu wote wamekubaliana na mtoa mada ila wanaume ndio wamekomaa kupinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakosea mkuu kwenye color wengi wanaprefer blak..mweupe akiwa na hela ule udhaifu inafunikwa na pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..sasa uwe mweupe manyodo kama yote inajiona umezaliwa uesiei pesa huna..khaa itakupasa ujibebe
Kama yule Hemed HB[emoji849][emoji51][emoji51]...hamna kitu pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi jinsia yangu ni STRAIGHT As Fak!... make No mistake about that.

And Mi naona wanaume wengi We are far better than that!....
ila kama huyo jamaa anafall kwenye category ya mandsome then ni habari njema kwetu sisi wanaume....
maana apa naangalia kama uyo jamaa ni handsome well mi si ntakua the most handsome sasa???

Wanawake wa jamii wengi si mpo kwenye Menopause plus mna rejections nyingi kwa wanaume so apo inakua kama kipofu kaona mwezi........

Yani uyo ata nikimkuta na demu wangu simchukulii kama ni threat hata kidogo
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hv ww unaonaga hmu wanawake wote wapo rejected ehπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…