Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
kuwa mpole jf ni msitu usikusumbue hakuna u siriaz wowote ni mbwembwe tu
warumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuwa mpole jf ni msitu usikusumbue hakuna u siriaz wowote ni mbwembwe tu
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji849][emoji849][emoji849]...Ndiyo ila uwa sitaki ku comment sana sababu thinking capacity za watu majukwaa haya siyo kama kule Jukwaa letu
Hyo nayo Fursa...mkumbuke marehemu kwa kuienzi Slogan yake...Ila kama una muda wa ziada.Yan Mimi ningekua na page za umbea insta , ningekua na follower mil 10, yan ningekua napiga pesa za matangazo hatar , maana najijua Mimi mbea halafu umbea naupatia mpaka kumoyo mtu una feel , ahahah lol
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hayo maneno nimeandika Mimi , jinsia yangu inabadilika kama masika
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahahah...lol kwakweli black is handsomeUnakosea mkuu kwenye color wengi wanaprefer blak..mweupe akiwa na hela ule udhaifu inafunikwa na pesa😂😂😂😂..sasa uwe mweupe manyodo kama yote inajiona umezaliwa uesiei pesa huna..khaa itakupasa ujibebe
Mwanaume mweupe hapana asee[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..angalia comments za wanawake wanapenda wanaume gan..nashangaaga wakaka weupe kutwa kujiona wazuurii[emoji848]
mi nampenda ben kinyaiya😂😂😂😂
Haha yani huyu ndo handsome? Basi wanaume wengi kama sio wote ni ma handsome![emoji23][emoji23][emoji23] khaa eti wanataka kutupangia mwanaume hendsam ni yupi, watuwacheee tunajua sisi watumiaji
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi nampenda ben kinyaiya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wapi wewe hata hujulikani wa kike au wakiumeNdo nimeona now pia , yeye ndo ka copy , angalia hii thread nimepost lini na yeye kapost lini Ndo utapata majibu
Watu humu wanajua vizur mwandiko wangu , Mara nyingi sana insta wanaiba content zangu , hata shigongo nae mpaka kwenye magazeti yake alikua anaandika umbea wangu
Binamu ukisikia warumi kimbia , Jina kubwa hili mjini , wadau wa umbea wote wananijua , lol
Huyo duller ka copy kila kitu , tena ka edit , Mimi nilimwita Mwasi yeye ndo kaandika Jina lake vzur mwachi , ahah
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unamaanisha wanaume wote wako kama huyo? It can't be...mkuu tulia sisi wanawake ndio tunajua ubishi wako unanilazisha nikuulize jinsia yako. Hivi wewe hujiulizi wanawake karibu wote wamekubaliana na mtoa mada ila wanaume ndio wamekomaa kupinga?Haha yani huyu ndo handsome? Basi wanaume wengi kama sio wote ni ma handsome!
Unless kama kuna lingine.View attachment 1038811
Kama yule Hemed HB[emoji849][emoji51][emoji51]...hamna kitu paleUnakosea mkuu kwenye color wengi wanaprefer blak..mweupe akiwa na hela ule udhaifu inafunikwa na pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..sasa uwe mweupe manyodo kama yote inajiona umezaliwa uesiei pesa huna..khaa itakupasa ujibebe
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Inaonekana wewe ni mweusi mana hakunaga wanawake desperate kama wale weusi...yani utaskia " I'm so proud of my color" hapo hajaulizwa
Mi jinsia yangu ni STRAIGHT As Fak!... make No mistake about that.Unamaanisha wanaume wote wako kama huyo? It can't be...mkuu tulia sisi wanawake ndio tunajua ubishi wako unanilazisha nikuulize jinsia yako. Hivi wewe hujiulizi wanawake karibu wote wamekubaliana na mtoa mada ila wanaume ndio wamekomaa kupinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Like serious?[emoji849][emoji849][emoji44]mi nampenda ben kinyaiya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inaonekana umepata sana rejection nyingi za wanaume weupe ndo mana una so much hatred!
Mi jinsia yangu ni STRAIGHT As Fak!... make No mistake about that.
And Mi naona wanaume wengi We are far better than that!....
ila kama huyo jamaa anafall kwenye category ya mandsome then ni habari njema kwetu sisi wanaume....
maana apa naangalia kama uyo jamaa ni handsome well mi si ntakua the most handsome sasa???
Wanawake wa jamii wengi si mpo kwenye Menopause plus mna rejections nyingi kwa wanaume so apo inakua kama kipofu kaona mwezi........