Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Wanawake wanasema yule mwanaume ni handsome wewe umekomaaa kubisha

Oooh huenda ukawa james delicious

Sitakujibu tena huwa sifukua mitaro am sorry
We taaira kweli mbona sisi tukisofiaga watoto wakaree wao wanakuja na kudiss?


Naona kama unawashwa washwa bro vp hao bacteria wanakunyemvua nyemvua nini uko kwenye PATANDI[emoji848][emoji848][emoji848]
 
A level kamaliza 1991
Naskia alimpaga mimba kadenti ka primary ndo akamzaa uyo jamaa ndo mana ukicheki jamaa umri umeenda tofauti na watoto wengine. Kuna ukweli apo?

Ani jamaa akiwa kidato..demu wake alikua primary nadhani alikua hajui siku zake aka danger zone mara BOOOM wakusoma ana BAOO!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] povu linawatoka hataree yaani mimi nashangaa mbona wao wakisema demu mzuri huwa tunawaacha wabishane wao kwa wao khaa wanaume wana wivu jamani

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo wa nataman watuzabe vibao , maana wanajua mpaka mademu zao na wake zao wataenda kudanga kwa mwachi, yan na nisiwafume tu maana wataisoma namba


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…