Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,323
Sorry nilikosea ...uko kwnye Pre Menopause ndo mana unakua na mood swings za ajabu ajabuHahha leo mie nacheka tu..khaa mara nip9 kwenye menopause mara nipo mp[emoji16][emoji16]..anywys hii ilikua chqngamsha genge dogo..tafuta hela..acha mapovu ya kijing ww
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Beef Lasagna huu mji mzito
Kumbe mnapenda American height ...njoo baby nikutulize
Kifaa hicho kifua rangi na sauti mkopo lazima uupateKuna mdau alisema picha yake
mwachi ataombea mkopo crdb[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huwa napata wasiwasi sana mwanaume akipinga au kukubali kuhusu u-handsome au u-kibamia wa mwanaume mwenzio,
Wadada ndo wanajua nini wanataka mzee
Ni kama sisi wanaume tunavyowachambuaga watoto wa kali
Sioni sababu ya wewe kupinga mwamba ni handsome
Waache wadada wamdadavue
mbona me naona anasura ngumu tu
HUYO NAYE NI HANDSOME MBONA MTU MWENYEWE BLACK SANAA. AMA WENGINE TUNA MAKENGEZA.
Naomba nipate amina kubwaSisifiagi wanaume under 30, ila nakuhakikishia mwanaume mweusi anaejipenda anaejua kuvaa ana mvuto kiwango cha TBS
Nb wanaume type ya mtoto wa ruge ndio wenye mvuto dunia hasa akiwa above 30
Naona wengi tumemuelewa Kijana
He has Manly features
Huyu kaka muweke yuke Baraka wa dstv muweke na huyu Mwachi alafu weka wanawake 100 waende kwa wanayemfeel..90 wataenda kwa mwachi!unataka kumfananisha mwachi na vitu vya kijinga eh
Sema kakosa ndevu[emoji4]mwanaume bila ndevu dah
Nasikia baba mtu(Mungu amrehemu) alikua balaaaaaa..kazi kubwa..ts sad kaondoka na utaalamu wake
Wanaume weupe? Ndo nasikia kwako au utakuwa unapiga story na vitoto wewe maana hao hutafuta baby faceKweli wanawake hawaelewi wanataka nini,
Mara wanataka mwanaume mweupe
Mara wanataka mwanaume mweusi
Mi jinsia yangu ni STRAIGHT As Fak!... make No mistake about that.
And Mi naona wanaume wengi We are far better than that!....
ila kama huyo jamaa anafall kwenye category ya mandsome then ni habari njema kwetu sisi wanaume....
maana apa naangalia kama uyo jamaa ni handsome well mi si ntakua the most handsome sasa???
Wanawake wa jamii wengi si mpo kwenye Menopause plus mna rejections nyingi kwa wanaume so apo inakua kama kipofu kaona mwezi........
Yani uyo ata nikimkuta na demu wangu simchukulii kama ni threat hata kidogo
Ndo shida za wanaume sura za mama zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hv ww unaonaga hmu wanawake wote wapo rejected eh[emoji23][emoji23][emoji23]....lol
Huyo ndiye mwachi muhaya wanyumbani kwetu BK kazi yake ni Dj ningekupa contact zake najina analotumia Insta ila nimeshajua lengo lako, hapa hupati kitu kuniharibia mdogo wangu mapema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakua dada yake Hance Mtanashatisiku zote najua huyu jamaa ni Mwanamume flani mpenda habari za wasanii.