Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Hata mwanaume yupo kci & jojo ( jodeci) ,pia kumbuka kuna majina unisex , eg Jordan, Ashley , bahati,Alexis etc
 
Kumbe hando ni msaliti
 
Sijawahi na sitegemei kumpa tamu mwanaume mweupe

Naanzaje labda?

Wanaume weusi ni deal mjini

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂😂mie mwenyew nilikua nawananga balaa enzi sijàolewa yaan sikua kbs nawapenda😂😂Mungu sio Tulia Ackson..hubby mm nikiendaga naye kwetu wanamwita myemen😂😂😂!burushi sio mburushi mwarabu sijui khaaa..mweupeee.sema madevu yameficha ..khaa..ila wanaume weusi ni hazina jman!
 
Kabisa kimuonekano tu ana sifa zote, kifua jamani kifua hicho

Uliona siku ile karimjee alipoenda mfariji nandy ebwana ndio bonge la dude bonge la dume bonge la gentleman.......oooih jesus

Sent using Jamii Forums mobile app

Tenaa, mwachi juu🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ondoa labda please

Mnahangaika na warumi kuliko hata mnavyohangaika na familia zenu

Sasa nikiwa gay , lesbian au transgender then inakua nini ? Maana Mimi huwa sijali kabisa , yani I don't care


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji23][emoji23][emoji23]alafu majority wanKuaga hawana hela[emoji52]

Wazitolee wapi , na wengi wanakua wadangaji, Mimi wanaume wa hivyo napeleka wapi , mxiew wakafie huko , mwachi Ndo mwanaume bwana , wengine wanasindikiza tu wanaume


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wazitolee wapi , na wengi wanakua wadangaji, Mimi wanaume wa hivyo napeleka wapi , mxiew wakafie huko , mwachi Ndo mwanaume bwana , wengine wanasindikiza tu wanaume


Sent from my iPhone using JamiiForums


😂😂😂😂😂😂😂..yule alohemkwa leo akiona hii ataua1 mbaya😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..yule alohemkwa leo akiona hii ataua1 mbaya[emoji23][emoji23]

Apambane tu na hali yake hamna jinsi🤣🤣, mi I don't care 🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hazina adhimu sana

Mi sitegemei kabisa mwanaume mweupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…