Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Mtoto wa Ruge ni shidaa...

"JUJUH" sio jina la kike? Like seriously? Si kuna demu msanii tena wa mtoni japo sio kwa aziz ali anaitwa Jojo aliimba Too Little Too Late, ??

Sasa Jojo na Juju si yale yale tu? Kumbe saa nyingine wazazi ndo wanawajambiaga watoto wao na kuwapa gundu ....

Unamuita mtoto wa kiume JUJU afu utegemee awe na tabia za kiRijali?????

The Almighty God Must be Crazy to allow that!
Hata mwanaume yupo kci & jojo ( jodeci) ,pia kumbuka kuna majina unisex , eg Jordan, Ashley , bahati,Alexis etc
 
Walitakiwa kufanya Interview na huyo mgeni kutoka ubalozi wa US kama sikosei(Naweza kusahihishwa) Then vitendea kazi vilikuwa vinazingua toka siku nyingi.. na especially Mic. Na Walikuwa wanaulalamikia Uongozi lakini wakashindwa kurekebisha. Then siku walikuwa wafanye hiyo Interview na huyo Mheshimiwa wakajipanga wafanye Mgomo wote watatu(Hando,Fina na Masoud) Asubuhi Mgeni kafika kweli wakagoma. Ila Hando akawasaliti hakugoma. Ndiyo wakafukuzwa Clouds Masoud na Fina. Ila Hando akabaki hadi alivyoondoka mwenyewe kwenda EFM.. (kwa Mujibu wa Masoud aliwahi kuhojiwa siku za nyuma sana akaeleza namna hiyo)

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hando ni msaliti
 
Sijawahi na sitegemei kumpa tamu mwanaume mweupe

Naanzaje labda?

Wanaume weusi ni deal mjini

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂😂mie mwenyew nilikua nawananga balaa enzi sijàolewa yaan sikua kbs nawapenda😂😂Mungu sio Tulia Ackson..hubby mm nikiendaga naye kwetu wanamwita myemen😂😂😂!burushi sio mburushi mwarabu sijui khaaa..mweupeee.sema madevu yameficha ..khaa..ila wanaume weusi ni hazina jman!
 
Ondoa labda please

Mnahangaika na warumi kuliko hata mnavyohangaika na familia zenu

Sasa nikiwa gay , lesbian au transgender then inakua nini ? Maana Mimi huwa sijali kabisa , yani I don't care


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji23][emoji23][emoji23]alafu majority wanKuaga hawana hela[emoji52]

Wazitolee wapi , na wengi wanakua wadangaji, Mimi wanaume wa hivyo napeleka wapi , mxiew wakafie huko , mwachi Ndo mwanaume bwana , wengine wanasindikiza tu wanaume


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wazitolee wapi , na wengi wanakua wadangaji, Mimi wanaume wa hivyo napeleka wapi , mxiew wakafie huko , mwachi Ndo mwanaume bwana , wengine wanasindikiza tu wanaume


Sent from my iPhone using JamiiForums


😂😂😂😂😂😂😂..yule alohemkwa leo akiona hii ataua1 mbaya😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..yule alohemkwa leo akiona hii ataua1 mbaya[emoji23][emoji23]

Apambane tu na hali yake hamna jinsi🤣🤣, mi I don't care 🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mie mwenyew nilikua nawananga balaa enzi sijàolewa yaan sikua kbs nawapenda[emoji23][emoji23]Mungu sio Tulia Ackson..hubby mm nikiendaga naye kwetu wanamwita myemen[emoji23][emoji23][emoji23]!burushi sio mburushi mwarabu sijui khaaa..mweupeee.sema madevu yameficha ..khaa..ila wanaume weusi ni hazina jman!
Hazina adhimu sana

Mi sitegemei kabisa mwanaume mweupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom