PreGE2025 Mtoto wa Shetta, Qailah: Wote Wanaomtukana Rais Samia tutapita nao mazima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mtoto wa Msanii wa Bongo Fleva Shetta, Qailah Nurdin Bilal ambaye ni Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) amewataka Vijana kwenda kuyasema mazuri yanafanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia kwa data kama Wasomi.

Akiwa kwenye Mahafali ya Seneti, Qailah ameongeza kuwa "Wote wanaotukana na kumsema maneno machafu Rais Samia, sisi kama vijana na Chipukizi tutapitanao mazima mazima"

FB_IMG_1749139137988.jpg
 
Hako ka kenge kadogo hata sifa ya kupiga kura hakana pamoja na tukenge twenzie, kapo hapo kanapiga biti la kukaririshwa.

Utakuta hakajui hata kinachoendelea kwa sababu hakajui kutumia mitandao, kamesimuliwa tu mama Abuuu anatukanwa nenda kaongee hivi na vile na vile.

Sisiem ina laana inaharibu watoto

NORENOE.
 
Back
Top Bottom