PreGE2025 Mtoto wa Shetta, Qailah: Wote Wanaomtukana Rais Samia tutapita nao mazima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mtoto wa Msanii wa Bongo Fleva Shetta, Qailah Nurdin Bilal ambaye ni Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) amewataka Vijana kwenda kuyasema mazuri yanafanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia kwa data kama Wasomi.

Akiwa kwenye Mahafali ya Seneti, Qailah ameongeza kuwa "Wote wanaotukana na kumsema maneno machafu Rais Samia, sisi kama vijana na Chipukizi tutapitanao mazima mazima"

Aangalie kibao huwa kinageukaga
 
msiletr nyuzi za watt tusije tulawatukana tukaonekana mapedophile na assaulters
 
Mtoto wa Msanii wa Bongo Fleva Shetta, Qailah Nurdin Bilal ambaye ni Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) amewataka Vijana kwenda kuyasema mazuri yanafanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia kwa data kama Wasomi.

Akiwa kwenye Mahafali ya Seneti, Qailah ameongeza kuwa "Wote wanaotukana na kumsema maneno machafu Rais Samia, sisi kama vijana na Chipukizi tutapitanao mazima mazima"

Kachawi hako.
 
Bado nawatazama wajumbe kwenye picha mnatona picha mjongeo. Sura na nyuso zao
 
Back
Top Bottom