B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Wahuni wanakamezea mate tu kakue waka pasua miguuMtoto wa Msanii wa Bongo Fleva Shetta, Qailah Nurdin Bilal ambaye ni Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) amewataka Vijana kwenda kuyasema mazuri yanafanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia kwa data kama Wasomi.
Akiwa kwenye Mahafali ya Seneti, Qailah ameongeza kuwa "Wote wanaotukana na kumsema maneno machafu Rais Samia, sisi kama vijana na Chipukizi tutapitanao mazima mazima"