Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mtoto wa Msanii wa Bongo Fleva Shetta, Qailah Nurdin Bilal ambaye ni Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) amewataka Vijana kwenda kuyasema mazuri yanafanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia kwa data kama Wasomi.
Akiwa kwenye Mahafali ya Seneti, Qailah ameongeza kuwa "Wote wanaotukana na kumsema maneno machafu Rais Samia, sisi kama vijana na Chipukizi tutapitanao mazima mazima"
Mwambie atulie, tunataka reform
Walishaambiwa wasiwatumie watoto kwenye siasa sio kosa lakeHuyu ni wa kutandika viboko kabisa! She is still an angel.
New Generation of monstersHuyu dogo naona anaadapt system alizozikuta.
#No reforms, No Election