Wakati mwingine wanakuwa walishaambizana kuwa kesho nitakupiga fine ya 250K uje umejiandaaTZS 250,000/= kwa mtoto wa Waziri ni issue ndogo tu. Ni swala tu la Chawene Mkubwa kupiga simu moja tu hela ikaletwa fasta.
Ndiyo hukumu za barabarani zilivyo250K , hela ya kifurushi cha DStv?
Punguza kiherehere, mtoto wa kiume wewe.Ulitaka alipe milion kumi?
Sawa.Ndiyo hukumu za barabarani zilivyo
Sheria inasemaje kuhusu hukumu ya makosa hayo matatu.View attachment 2333685
Mfanyabiashara, James Simbachawene (24) ambaye ni mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene, amehukumiwa kulipa faini ya Sh250, 000 na kufungiwa leseni yake ya udereva kwa miezi sita baada ya kukiri makossa matatu.
Mtoto huyo amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Agosti 24, 2022 jioni na kusomewa mashtaka yake na wakili wa Serikali, Daisy Makakala, mbele ya Hakimu Mkazi Aron Lyamuya.
Mashitaka hayo ni pamoja na kuendesha gari kwa hatari, kuendesha gari akiwa amelewa na kuendesha gari bila kuwa na bima.
Baada ya kusomewa mashitaka hayo, Simbachawene alikiri na ndipo hakimu Lyamuya alipoahirisha kesi ili kumwandikia hukumu.
Baada ya muda mfupi, ndipo hakimu Lyamuya alimhukumu Simbachawene kulipa faini ya Sh100,000 kwa kosa la kuendesha gari kwa hatari, Sh100,000 kwa kosa la kuendesha gari akiwa amelewa na Sh50,000 kwa kosa la kuendesha gari bila kuwa na bima.
Pamoja na faini hiyo, leseni ya Simbachawene imefungiwa kwa miezi sita.
Credit; Mwananchi News Paper
Ingekuwa adhabu ya 25m na kifungo cha miezi sita jela ndo ingekuwa sawa
Halafu utasikia hapa eti "Kwa mujibu wa shiria", sheria Tz hii?Utapewa kesi ya Kutukana matusi, utapewa kesi ya kumzuia askari kufanya majukumu yake, na jinai zingine kadhaa tu hivi. Hiyo miezi anayofungiwa kuendesha gari lakin anakua uraiani, kama ndio wewe utakua uko mahabusu ukiwa ushakula virungu vya kutosha tu.
Una uhakika wa kufikishwa mahakamani ndani ya siku mbili kama huyo mtoto ili ukailipe hiyo 250K, IKITOKEA UMELAZIMIKA KUSHIKILIWA NA POLICE?
ASSUME hizo mbinu zako za kuwapoza maafisa zimedunda, unadhani muda huu kesi yako ingekuwa imesikilizwa?
Nataka uione tofauti yako BUFA na mtoto wa Chawene.
Mpaka hapo nadhani tutakuwa tumeelewana mkuu.Hapo kingeumana mkuu, dawa ni kumaliza pale pale.
Tuna ufala mwingiMakosa aliyoshitakiwa nayo ndio hayo. Ile clip anatukana na pia anabishana na askari itakua ni edited labda
Kwa mujibu wa sheria hiyo bro,traffic case ukiwa na d/licence ni faini tu ukikutwa na kosa250K , hela ya kifurushi cha DStv?
25M ingenyofolewa huko huko sera na taratibuIngekuwa adhabu ya 25m na kifungo cha miezi sita jela ndo ingekuwa sawa
Sheria za trafiki case ndio ziko hivyo mkuuIngekuwa adhabu ya 25m na kifungo cha miezi sita jela ndo ingekuwa sawa
Kuna watu wanapenda publicityHapo kingeumana mkuu, dawa ni kumaliza pale pale.
Unauhakika hata wewe ingekuchukua siku mbili tu kufikishwa mahakamani kama huyo dogo? Assume kosa ni lilelile.Kwa mujibu wa sheria hiyo bro,traffic case ukiwa na d/licence ni faini tu ukikutwa na kosa