Mtoto wa Simbachawene alimwa faini ya tsh. 250,000/=

Mtoto wa Simbachawene alimwa faini ya tsh. 250,000/=

Miaka hioo pale Jacky's bar masaki watoto WA wakubwa wanapombekaaa...now days itakuwa wanaenda kidimbwiee
 
Mimi ningemaliza mchezo pale plae. Hii ishu imekuzwa sababu dogo ni mtoto wa waziri ila hivi visa kila siku vinatokea road, traffic wanapozwa then wote mnasonga mbele kama injil
Ameongeza followers insta,facebuk na twiter
 
Ninaamini kama hayati angekuwa hai huyo simbachawene hana kazi na mwanae angewekwa ndani mwaka iwe funzo kwa watoto wa vigogo wanaochezea mamlaka kwa vivuli vya baba zao shenzzzzz kabisa...
Mnamsingizia Hayati Ninyi, Sheria ndo hiz hayTi angefanya Nini. Labda kumpandisha cheo aliyetukanwa.
 
Utapewa kesi ya Kutukana matusi, utapewa kesi ya kumzuia askari kufanya majukumu yake, na jinai zingine kadhaa tu hivi. Hiyo miezi anayofungiwa kuendesha gari lakin anakua uraiani, kama ndio wewe utakua uko mahabusu ukiwa ushakula virungu vya kutosha tu.
Haki ya mwenye jina si sawa na haki ya kapuku
 
Katika sakata hili polisi walizingua sana!!
 
Na hiyo hela katoa mheshimiwa mwenyewe picha ya maneno yale. Sauti ilisikika kutoka chini ya carpet
 
Watu wanaona adhabu kama ni ndogo ila Kwenye maisha yako omba Sana usipate kesi wewe mwenyewe au mtoto wako, au mtu ambaye anakuhusu 100,%.
Kesha jifunza.
 
Mtoto wa waziri anapotembea na gari bila bima, daaaa

Anajiamini sana na uhai.
 
Mimi ningemaliza mchezo pale plae. Hii ishu imekuzwa sababu dogo ni mtoto wa waziri ila hivi visa kila siku vinatokea road, traffic wanapozwa then wote mnasonga mbele kama injili
Imekuzwa au mhusika kataka iwe hivyo, vip hajamtukana hakimu??
 
Imekuzwa au mhusika kataka iwe hivyo, vip hajamtukana hakimu??

Watu wanaua kabisa na wanatoka ndo sembuse huyu. Hujasikia kesi ya Moshi? Yule dada kakata ndani muda gani?
 
Mpaka hapo nadhani tutakuwa tumeelewana mkuu.

Hii kwa mujibu wa sheria imeonekana nyepesi kutokana na status ya mtuhumiwa.

Mkuu bongo hamna sheria kukaa ndani ni urefu wa mkono wako tu haijalishi wewe ni mtoto wa nani. Umesika kesi ya yule dada Moshi aliyemuua mama yake na waganga kaachiwa huru? Yeye kakaa ndani muda gani?
 
Back
Top Bottom